Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?

Au ukasikia utamu lakini huna furaha?

For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha

Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo

Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi

Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo

Then utamuuu😋
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!

Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoni🤪

Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziaje🤣

It’s Furahi Day leo, mada ni tamu na laini😊

Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitaki🙅‍♂️

So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys

ShesRise_1 ✋️
 
Mimi binafsi naomba nijikite zaidi kwenye suala zima la neno utamu 😅.
Maisha ya mwanadamu yeyote yanahitaji zaidi vitu vitamu kuliko vitu vichungu.
Kwani kitu kitamu kitakufanya uendelee kula bila kuchoka😜 Yani Mfano Nyama iliyowekwa viungo kiufasaha bila kusahau limao na ikachomwa vizuri ukila kwa kusindikizia na 🍷 kidogo..... Bhana weeee utamu wake ni balaa.

Kwa kuongezea hapo neno utamu linaweza kujitokeza katika maeneo mbalimbali ukiondoa kwenye Chakula.😜

Kuna vitu vitamu bhana halafu vya moto hatari.
Nitaendelea wakati ujaoo................🤣🤣🤣
Naenda kusuka kwanza jioni nitoke zangu mie.
 
nasikia rahaa utamuuu ( utamu husika kwenye soulish realm, raha katika physical realm na furaha ni katika spiritual realm )
 
Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?

Au ukasikia utamu lakini huna furaha?

For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha

Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo

Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi

Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo

Then utamuuu😋
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!

Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoni🤪

Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziaje🤣

It’s Furahi Day leo, mada ni tamu na laini😊

Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitaki🙅‍♂️

So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys

ShesRise_1 ✋️
Furaha ni hali ya ndani ya moyo na nafsi inayodumu kwa muda mrefu zaidi. Ni kama ulivyosema—ile hali ya moyo kuwa na utulivu, amani ya ndani, na kuwa na "vibe" chanya hata kama huna kila kitu unachokitaka duniani. Mara nyingi furaha ya kweli haitegemei vitu vya nje pekee; unaweza ukawa huna fedha nyingi , hau drive fancy cars au unakula ugali na mboga za majani, lakini moyoni una amani tele na unajiona mwenye heri hence a happy being.
 
Mimi binafsi naomba nijikite zaidi kwenye suala zima la neno utamu 😅.
Nilijuaaaaaaaaa 🤣🤣🤣
Maisha ya mwanadamu yeyote yanahitaji zaidi vitu vitamu kuliko vitu vichungu.
Kwani kitu kitamu kitakufanya uendelee kula bila kuchoka😜 Yani Mfano Nyama iliyowekwa viungo kiufasaha bila kusahau limao na ikachomwa vizuri ukila kwa kusindikizia na 🍷 kidogo..... Bhana weeee utamu wake ni balaa.
Mfano kipande cha nyama et 🫢😂😂😂
Kwa kuongezea hapo neno utamu linaweza kujitokeza katika maeneo mbalimbali ukiondoa kwenye Chakula.😜
Acha basi mahii🫣
Kuna vitu vitamu bhana halafu vya moto hatari.
Ni vitu gani hivyo sema pulizzzzzz
Nitaendelea wakati ujaoo................🤣🤣🤣
Naenda kusuka kwanza jioni nitoke zangu mie.
Naona ile outing unaipuuza shenzi wewe 😂
 
Furaha ni hali ya ndani ya moyo na nafsi inayodumu kwa muda mrefu zaidi. Ni kama ulivyosema—ile hali ya moyo kuwa na utulivu, amani ya ndani, na kuwa na "vibe" chanya hata kama huna kila kitu unachokitaka duniani. Mara nyingi furaha ya kweli haitegemei vitu vya nje pekee; unaweza ukawa huna fedha nyingi , hau drive fancy cars au unakula ugali na mboga za majani, lakini moyoni una amani tele na unajiona mwenye heri hence a happy being.
Umefafanua vizuri
Naona leo huniulizi nimewaza nini😅
 
Nilijuaaaaaaaaa 🤣🤣🤣

Mfano kipande cha nyama et 🫢😂😂😂

Acha basi mahii🫣

Ni vitu gani hivyo sema pulizzzzzz

Naona ile outing unaipuuza shenzi wewe 😂
Kipande Cha nyama ukipate kikiwa Cha moto halafu kiwe kina ulaini fulani hivi na ukiweke mdomoni hivo hivo 😋😋na ukitafune taratibu huku unasikilizia utamu wake na kukimeza kwa umakini mkubwa Ili usije ukaumiza koo lako.
Huo unaitwa utamu Pro max 😜😜😜.

Raha ya utamu wa nyama usitafune kama Ngiri 😜😜.

Note: Mtoko wetu uko palepale 😝💉💊
 
20260627_091705.jpg
 
Back
Top Bottom