ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #21
Nashindwa kuelewa (mchina voice)🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipande Cha nyama ukipate kikiwa Cha moto halafu kiwe kina ulaini fulani hivi na ukiweke mdomoni hivo hivo 😋😋na ukitafune taratibu huku unasikilizia utamu wake na kukimeza kwa umakini mkubwa Ili usije ukaumiza koo lako.
Acha basi binti nifundishe jinsi ya kutafuna kwa utuo😆😆Huo unaitwa utamu Pro max 😜😜😜.
Raha ya utamu wa nyama usitafune kama Ngiri 😜😜.
Baaasiii🙅♂️🔥🔥Note: Mtoko wetu uko palepale 😝💉💊