realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Ndo nimemaliza kuosha na kukausha nywele.Umeshasuka au 😅
Nianze kusukwa Sasa 😛nipendeze niende zangu kuupa mwili pole 🍷.
Ndo nimemaliza kuosha na kukausha nywele.Umeshasuka au 😅
Mzee naomba ufundi na mm nipate hiyo mali😉Nimesha kucheck PM...😋
Ki vip tenaWe mada zako huwa za kichokozi sana
Ubongo wako nimeuhamishia wapiYaani umeuhamisha ubongo wangu sehemu mbali mbali
Utakufa vibaya wewe 🤣🤣🙌Nimewaza, chakula, Nimewaza nyimbo zangu pendwa, nikamwaza mpenzi niliye nae, nikamwaza crush wangu Binti wa zamani na bado hapo hapo ukani kumbushia ex.. Sasa hapa focus yoote imetoka kwa muda
Nimekufanyaje kijana dah🥲Daah kwanini unanifanya hivi?
SafiiiiNdo nimemaliza kuosha na kukausha nywele.
Mbona kama unaniringishia veep😏😏Nianze kusukwa Sasa 😛nipendeze niende zangu kuupa mwili pole 🍷.
Mungu anakuona ewe binti 😂Ki vip tena
Ubongo wako nimeuhamishia wapi
Utakufa vibaya wewe 🤣🤣🙌
Nimekufanyaje kijana dah🥲
Sawa mkuuElewa kuwa 'Furaha' ndiye baba wa mhimili wa maisha ya mtu.
SawaHapa neno 'Utamu' tuliondoe katika muktadha huu, maana halihusiani na furaha waka raha, maana utamu ni aina ya ladha na kinyume chake ni 'uchungu'.
Sawaaa 😊Lakini furaha na raha ni 'mtu na mke wake' maana palipo na raha, furaha hakosekani na palipo na furaha, raha yupo, anayetangulia mbele ya mwenzake ni mr Furaha!
asante sanaVyote hivyo ni hisia na ukivihitaji vina gharamikiwa kwa mazingira ama kwa pesa.
Furaha ndiyo thamani halisi ya maisha ya binadamu.
Furaha ikikosekana, dunia utaiona chungu na huwezi kutaka kuishi tena.
Nimeona furaha ni ya thamani zaidi asante sana 🙏Kufungwa ama kutengwa, huwa ni kumnyima mtu furaha.
Mafundisho ya dini yanatuasa tutende mema ili tuje tupate furaha ya milele na kinyume chake ni majuto ya milele.
Umeona furaha ilivyo na thamani?
AmenMungu anakuona ewe binti 😂
View attachment 3626360
😅😅😅😅 Kwani utakuwa wapi usiku wa leo.Safiiii
Mbona kama unaniringishia veep😏😏
Unasema amen kweli? Na umetufanya vibaya.Amen
Nyumbani diha na simu mkononi huku na peruzi jeyihefuu😅😅😅😅😅 Kwani utakuwa wapi usiku wa leo.
Mimi na kuupa mwili pole ni Pete na kidole 😅.
NimefanyaUnasema amen kweli? Na umetufanya vibaya.
Natania tuuNimefanya
vibaya wapi ?
Unaatamia 😜😅Nyumbani diha na simu mkononi huku na peruzi jeyihefuu😅
Ili uwe na furaha,raha na utamu lazima uwe na pesaHivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi
Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo
Then utamuuu😋
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!
Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoni🤪
Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziaje🤣
It’s Furahi Day leo, mada ni tamu na laini😊
Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitaki🙅♂️
So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys
ShesRise_1 ✋️
Unashngapi...🙄Mzee naomba ufundi na mm nipate hiyo mali😉
Sio lazima hasa furaha, haihitaji pesaIli uwe na furaha,raha na utamu lazima uwe na pesa
Haya asante kwa maoni yakoNatania tuu
Ila my pov kuna utofauti sana kati ya dhana zote hizo...
Ni kama raha na utamu vinaendana
Ila furaha ni kitu kisicho depend raha au utamu. Furaha ni utulivu wa mwili, akili na moyo
Mimi kapuku tu mzee, nimekuwa nikijaribu sana kurusha ndoano ila napigwa za uso tuu. Ni bless tu kijana wakoUnashngapi...🙄
Shenziii😞😅Unaatamia 😜😅
SawaIli uwe na furaha,raha na utamu lazima uwe na pesa