shikamoo auntieEeeh huoni hata mwandiko wangu
shikamoo auntieEeeh huoni hata mwandiko wangu
Marhaba🤗shikamoo auntie
auntie naomba laki moja kama hela ya kubetMarhaba🤗
Shenziiiii kabisa we mtoto 🤣🤣auntie naomba laki moja kama hela ya kubet
hapo sasa ndio mimi napata furaha kwenye kutaniana na anonymous being kama hivyo.Shenziiiii kabisa we mtoto 🤣🤣
Nimesha kucheck PM...😋Kwenye miti hakuna wajenzi 🤣🤣
Unapenda utani na watu usiowajua jamani🤣🤣hapo sasa ndio mimi napata furaha kwenye kutaniana na anonymous being kama hivyo.
I hope that gave you a real sense of what it means to be happy.
Nimeona aisee dahNimesha kucheck PM...😋
is it bad ?Unapenda utani na watu usiowajua jamani🤣🤣
Hapana ni sawa kabisa mimi aunt wako au umesahau?is it bad ?
sawa auntieHapana ni sawa kabisa mimi aunt wako au umesahau?
Tickets zipo solid out wewe ulikata?sawa auntie
kesho tukutane kwenye miaka 30 ya Bono fleva
Elewa kuwa 'Furaha' ndiye baba wa mhimili wa maisha ya mtu.Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi
Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo
Then utamuuu😋
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!
Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoni🤪
Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziaje🤣
It’s Furahi Day leo, mada ni tamu na laini😊
Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitaki🙅♂️
So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys
ShesRise_1 ✋️
Yooo shukrani sana kakaFuraha kwanza ni ile hali ya kuwa na amani ya nafsi binafsi pamoja na mwili kwa ujumla ni kitendo cha kuridhika na kile ulichonacho na mara nyingi furaha hudumu muda mrefu, na haichagizwi na kitu kama pesa, huwa kiufupi hii hainunuliki,
Raha ni kitu cha muda mfupi ni ile hali ya mtu kujihisi kubarizi na kufurahia kitu ambacho either kimesababishwa na pesa au mfano pale mtu unapopumzika au kulala ni kitu ambacho huisha pale kile kisababishi kikuu kinapotoweka au kuisha muda wake
Utamu kwa upande wake ni ile hali ya ladha ya kitu mfano chakula au hisia zozote zile zinazoweza kuchochea furaha ya mwili na kumfanya mtu kujihisi burudani
We shall watch it on a large screen tucked away in a secluded spot.Tickets zipo solid out wewe ulikata?
Hapo kwa mchina nimecheka kama mazuri 😅😅😅Nashindwa kuelewa (mchina voice)🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha basi binti nifundishe jinsi ya kutafuna kwa utuo😆😆
Baaasiii🙅♂️🔥🔥
Screen ya nyokoooo 🤣We shall watch it on a large screen tucked away in a secluded spot.
Umeshasuka au 😅Hapo kwa mchina nimecheka kama mazuri 😅😅😅