Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

Ahsante kwa taarifa, weka miongozo ya picha...
 
Duh SALUTE! mada ya moto hii
 
Naendelea kuwa na ndevu kama kawaida ila zenye usharobaro kiasi za kipapaa mobimba
 
Naona baada ya kumpiga rapelii umefukua kaburii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuja kuzuru akaunti yako ndio nafika nakutana na thread hii nikapatwa na kihoro[emoji176]
 
Du sasa kambale na paka inakuaje? Maana Baba ndevu mtoto ndevu mama ndevu yani ni ndevu ndevu Tu aijulikani nan wa kumvutia mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…