Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
- Thread starter
- #261
Ndio anaweza kuwa alishatoa album kibao na kujulikana kiaina. Lakini wengi au dunia ilimjua zaidi baada ya kutoa huo wimbo.Another bullshit. Ni kweli Jay ali-sample wimbo wa Pac, lakini kusema eti "03 Bonnie and Clyde" ndio wimbo uliomtoa Jay ni uongo mkubwa. Huo wimbo uko kwenye albamu ya 6 ya Jay inayoitwa "The Blueprint 2: The Gift and The Curse" na ilitoka mwaka 2002. Albamu ya kwanza ya Jay "Reasonable Doubt" ilitoka mwaka 1996. Unataka kudanganya kwamba albamu zote tano za mwanzo Jay alikuwa bado hajajulikana mpaka alipotoa "The Blueprint 2"? Nina wasiwasi sana knowledge yako kuhusu hip hop.