Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Mtu anayeijua hip hop angejua kwamba sampling ni kitu cha kawaida kwenye huu muziki. Karibu 99% ya nyimbo za hip hop huwa wana-sample nyimbo za genre nyingine.

The fact kwamba sampling watu wanaita "kuiga" ni ushahidi kwamba wengi wanaoposti kwenye huu uzi hawajui kitu kuhusu hip hop.

By the way, kwa kukusaidia, wimbo wa Hit 'em Up ulitumia sample ya wimbo Don't Look Any Further wa Dennis Edward. Biggie na Junior Mafia walitumia hiyo sample kabla ya Pac kwenye wimbo wa Get Money remix. Pac akaamua kuutumia kwenye hiyo diss song (hiki ni kitu cha kawaida kwenye rap beef, wenyewe huwa wanaita "jacking", unachukua beat ya adui yako kisha unaitumia kumdiss).

Kweli mkuu sampling ni common sana kweny hiphop
 
Fikiria kama uhai wake ungeendelea kusogea sogea hadi 2010 au 2015, sasa hivi angekuwa na album ngapi au nyimbo ngapi.

Pia hip hop ingekuwa ya moto kiasi gani.
Kusogea hapo ilikua ngumu kwa kipindi kile gun violence zilikua sio za kitoto ndio maana akachezea chuma, na bado wapo wengi wanaochezea chuma hata leo kuna mwingine kashachezea chuma huko kwa hao Jamaa wanaobeba chuma mkononi
 
Afu ukiangalia kwa makini unaweza kuona kwamba kifo cha Pac hakikusababishwa na magenge ya uhalifu, bali kuna mkono mrefu kutoka juu umehusika. Ndio maana miaka na miaka kesi yake imekuwa ikipigwa danadana tu.

Pac alikuwa muwazi kwa kila kitu, hakupenda unafiki. Mtu yeyote aliejaribu kumvuta shati katika harakati zake za kupigania ukombozi kupitia mziki wake alimchana live bila kujali cheo chake, umri wake wala jinsia yake.

Soma hapo chini kweny picha niliyokuwekea uone jinsi alivyomchana chana mwanamama C. Delores Tucker (politician& activity right) bila kumungunya maneno.

Hakuishia hapo akaendelea kuwachana Bill Clinton (raisi wa Marekani enzi hizo) na kumalizia na mzee Bob Dole (makamu wa raisi wa Marekani enzi hizo) So unafikiri kwa style ile system ya nchi kubwa kama Marekani ambayo ilikuwa inaongozwa na hao aliowachana chana Clinton na Bob Dole ingemuacha salama kweli hasa ukizingatia walikuwa wanasogelea sogelea uchaguzi wa katikati ya muhula?

Lakini pia Pac aliwachana chana hawa illuminati kiasi kwamba watu wengi wakaanza kujua kuhusu kitengo hicho cha siri cha nguvu za giza ulimwenguni je unafikiri hawa nao wangemuacha ikiwa kuna maelfu ya viongozi mbali mbali wapo ndan ya hiki chama?
Pia Pac alikuwa na beef kubwa na police wa Marekani ukiachilia mbali ile kesi ya kuwapiga risasi maafisa wa polisi, lkn pia ukisikiliza ile nyimbo yake ya out on bail amewachana chana vibaya sana polisi na system nzima ya mahakama. So itoshe tu kusema kwamba Pac ameuwawa na mfumo, swala la kumshirikisha Big limetumiwa tu kama kichochoro cha kuficha wauaji halisi. Soma hapo 👇 Pac alivyowachana viongozi wa Marekani
 
Attachments

  • Screenshot_20221102-110842.jpg
    Screenshot_20221102-110842.jpg
    60.6 KB · Views: 13
swala la kumshirikisha Big limetumiwa tu kama kichochoro cha kuficha wauaji halisi
Mimi sijasema swala la kifo cha Pac anaehusika ni Big, hilo lipo wazi hata Pac mwenyewe analijua na alilijua hata kabla ya kupigwa chuma kwamba Big hausiki na kifo chake, zile drama za Big na Pac zilikua ni km changamsha genge tu kusukuma industry wapate Pesa sio kingine hawakua na chuki hata robo sababu walikua marafiki
 
Usiwaze mkuu. Nilikuwa nazungumzia tu utofauti wa mauaji ya Pac na wasanii wengine.
 
Baada ya Ku Google ndio unakuja hapa..

Unatakiwa uwe na details Natural (Capacity) na sio za ku Google kijana..

Inaonesha wazi ww ni mweupe by the way hakuna manufaa ya kubishana bila hoja.

Hiphop beats nyingi ni re-used.. na hakuna Beat kali kama za Hiphop.

Hivyo hakukuw na haja ya kufanya resampling ya beat za Pop kama unavyodai hapo.. Kwamba ,99℅ wana smple kwa genre nyingine.. Una akili wewe?!

Kuna beat moja hapa Bongo ile USIULIZE ya RADO nahisi alifanya B recdz nitajie Beat gani inaweza funika ile kitu.
Unazidi kudhihirisha ulivyo mweupe.
 
That time Pac was already through a lot n his carrier while Jay was rising so mpe heshima yake point yangu ni pac asilinganishwe na generation ilikua baada yake na pia kwenye generation yake, kwakua ndo alikua shining star hata pale dearth low bas ruhusu iwe ivo sio kumpaka matope ili kumshusha na kumpandisha fulani alieshidwa kumshusha Pac enz izo richa ya flow zao sijui beatzao and other blah bhal while pac alikua anacelebrate his album against the world kushika no1 billboard akiwa zake jela.

Na hambao hamjui Pac kua na maadui wengi na watu wengi kutamani kumshusha ndo kitu kilichompandisha zaidi sababu alikua akishinda kila vita walomletea mbele yake hadi pale walipofanikisha kumuua na bado anashine mpaka leo.
Again, what's yout point? Unaongea as if Pac was the only rapper that went through shit. Every rapper ana stori ya kusimulia kuhusu alikotoka. Nyie mkambiwa hivyo mnapanic mnasema tunamkandia.
 
Again, what's yout point? Unaongea as if Pac was the only rapper that went through shit. Every rapper ana stori ya kusimulia kuhusu alikotoka. Nyie mkambiwa hivyo mnapanic mnasema tunamkandia.

Basi ipo ivo we unaamini wapo watu wakubwa kuliko Pac kwa generation yake mi naamini Pac ndo alikua shining star kwenye generation yake na mpka saivi kwangu ni morethan artist mpka movie zake napenda pia na hao wengine nawakubali pia kama Jay ananispire sana kweny jinsi alifanikiwa kuonganisha mziki na biashara pia kina didy na birdman nas as best rymes maker namkubali ila Pac ni best for me kwa sababu nyingi tu kwaiyo nimeheshimu imani yako bro juu ya hao wengine, nukta.
 
I feel you bro. Hakuna ubaya kuwa fan wa Pac.
 
2pac: Troublesome 1996 👇

(1) "Niggas talk a lot of shit, but that's after i'm gone"
(2) "Fvck, all y'all niggas in Swahili"
 
Again, what's yout point? Unaongea as if Pac was the only rapper that went through shit. Every rapper ana stori ya kusimulia kuhusu alikotoka. Nyie mkambiwa hivyo mnapanic mnasema tunamkandia.
Scary a*$ nigga ukimkandia au usimkandie it's up to you ila statistics zinaongea
 
2pac: Troublesome 1996 👇

(1) "Niggas talk a lot of shit, but that's after i'm gone"
(2) "Fvck, all y'all niggas in Swahili"
2pac aliwajua waswahili kitambo na akaijua lugha yao ya kiswahili pia kama alivyoimba kwenye hicho kipengele cha "troublesome" cha 96.
 
Ok mkuu, kwa upande wangu top 5 ni

1) 2Pac Shakur
2) Nas escoba
3) Notorious B.IG
4) Big Punish
5) Easy E
6) Dr Dree
7) Jay z & DMX
8) Snoop
9) 50 Cent
10) Eminem & Lil wayne
Hapo Lil Wayne mtoe kbs yaani kbs japo kitambo tangu Hotboys nakina Juvenil kule No Limit na Cash money, lkn hawezi kuwa ktk hio Legendary list ya Od'z labda 50 ambae itikeli zake zaki Aftermath, ni mbishi 50 lkn huyo katuni tuupa kulee 🗑️🚮
 
Hapa nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom