Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Ndio anaweza kuwa alishatoa album kibao na kujulikana kiaina. Lakini wengi au dunia ilimjua zaidi baada ya kutoa huo wimbo.
 
Ndio anaweza kuwa alishatoa album kibao na kujulikana kiaina. Lakini wengi au dunia ilimjua zaidi baada ya kutoa huo wimbo.
Nope. Jay alikuwa tayari famous kabla ya huo wimbo. Albamu 6 (5 zake na moja ya compilation), hits kibao mfano Dead Presidents, Ain't No Nigga, Can't Knock the Hustle, Can I Get a ..., Hard Knock Life, Big Pimpin, I Just Wanna Love U, Izzo (HOVA) just to mention a few, halafu unasema Jay alikuwa hajulikani duniani? You can't be serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…