Unajua kwanini maji ya kuchemsha hupoteza ladha (flat taste)? Fahamu nini ufanye kurudisha ladha yake

Unajua kwanini maji ya kuchemsha hupoteza ladha (flat taste)? Fahamu nini ufanye kurudisha ladha yake

kibangubangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
289
Reaction score
411
UNAJUA KWA NINI MAJI YA KUCHEMSHA HUPOTEZA LADHA?

Mbinu ya kuchemsha maji ni moja ya mbinu ya kuyafanya maji kuwa salama, kupitia mbinu hii utaweza kuua vijidudu, bacteria na virusi mbalimbali ambavyo vipo katika maji.

Ubaya wa njia hi ni kwamba, baada ya hapo maji yanakua hayana ladha (flat taste)

SABABU MAJI YA KUCHEMSHA KUKOSA RADHA

Unapo chemsha maji hewa ambayo huwa katika maji huondoka, na hewa iliyopo katika maji ndio hufanya maji kuwa na ladha.

UFANYE NINI KURUDISHA LADHA YA MAJI BAADA YA KUYACHEMSHA.

Ni rahisi sana, fanya hivi.

1. Yaache maji yapoe
2. Chukua vyombo viwili vitakavyotosha hayo maji
3. Uwe unayamimina kutoka chombo kimoja kwenda kingine Kama vile unayapooza, hakikisha unainua juu ili maji yawe yanashuka kwa kuporomoka.

Fanya Kama mara 10 hivi

Hii husaidia maji kuchanyikana na hewa tena na radha yake kurejea Kama kawaida.

Chukua hiyo

Scientific explanation

Boiling water removes dissolved oxygen and other gases.

The solubility of gases in liquids is decreased as temperature increases. This manifests as a problem when water is used for cooling, e.g. in a power plant.

The warm water returned to the river is depleted in oxygen, which can kill off the fish and other animals (crustaceans, molluscs, etc.)
 
Asante kwa elimu, binafs sipendi maji yaliyochemshwa kwa sababu hiyo, nliyaona kama maji mfu....
 
Mimi nimeelewa,na nitajaribu kutimia njia hiyo,wanaoulizia taste ya maji acha waendelee kuitafuta,asante mdau
 
Back
Top Bottom