Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Kwani lengo la mke kumnyima k mumewe ni nini?Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
😂Huu Uzi nkichangia nnayoyawaza mnaweza mkaji organize mnitaftie therapist 🤣🤣 ngoja ninyamaze tu nsijenkajidaririsha na kuvunja watu moyo.
Ni wanawake wachache sana wanao penda wacha Mungu. Wanawake walio wengi kwenye ubora wao wanapenda wahuni, maplayboy,waume za watu. Wakishatumika sana,umri umeenda na kuanza kuchuja,hapo sasa ndio wanatafuta wanaume wacha Mungu,wanakimbilia makanisani huko.Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Acha uongo, tunawapenda yani tunawapenda hadi sio poa.Mwanamke gani amewahi kumpenda mwanaume?
Kimsingi ukiona mwanamke yupo kwako, ujue amekuja kula pensheni yake kwako; ikiisha, anasepa kwingine. Ni vile tu wanaonaga aibu kuondoka mapema.
Kumbaka mkeo ni kesi nyingine mkuuEty naskia mtu unaweza kumuoa alafu akakunyima unyumba... WTF yaani upo nayo ndani mda wote alafu aninyime.na yeye anakua kalala wapi chini au...
Aiseee sijui kama sijakuja kuua mtu mimi kudadek yaani asijarbu kabisa naweza vunja mguu mimi
Ninyime vyote ila sio ile kitu
Wahuni ndio hupenda wahuni wenzaoNi wanawake wachache sana wanao penda wacha Mungu. Wanawake walio wengi kwenye ubora wao wanapenda wahuni, maplayboy,waume za watu. Wakishatumika sana,umri umeenda na kuanza kuchuja,hapo sasa ndio wanatafuta wanaume wacha Mungu,wanakimbilia makanisani huko.
Wananawake kwenye ubora/uzuri wao hupenda sana wahuni, maplayboy na waume wa watu.Sababu ya vitu viwili kuendekeza tamaa ya fedha na nyege, so fedha hapo ndipo anapo ingia mme wa mtu, nyege hapo ndipo na anapoingia muhuni na playboy. Wacha Mungu wanakumbukwa baadae sana,kipindi hiko umri umeenda na kishachuja.Wahuni ndio hupenda wahuni wenzao
Ingia majukwaa ya love connect ujionee wanataka mwenye hofu ya MunguWananawake kwenye ubora/uzuri wao hupenda sana wahuni, maplayboy na waume wa watu.Sababu ya vitu viwili kuendekeza tamaa ya fedha na nyege, so fedha hapo ndipo anapo ingia mme wa mtu, nyege hapo ndipo na anapoingia muhuni na playboy. Wacha Mungu wanakumbukwa baadae sana,kipindi hiko umri umeenda na kishachuja.
Dadekii 🫵 😃Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Solutions rahisi wnabakwa TUEty naskia mtu unaweza kumuoa alafu akakunyima unyumba... WTF yaani upo nayo ndani mda wote alafu aninyime.na yeye anakua kalala wapi chini au...
Aiseee sijui kama sijakuja kuua mtu mimi kudadek yaani asijarbu kabisa naweza vunja mguu mimi
Ninyime vyote ila sio ile kitu
Mnapenda heka heka sana...Mmh wanaume wachamungu acheni uongo jamani, mbona hampendwi.....
Real hard TruthHii ni kweli kabisa...aisee usithubutu kumuonyesha mke wako kwamba hauwezi pata mbunye somewhere else, atakunyima kila mara akijua huwezi fanya lolote! Na ukikaa hovyo ataigawa kama njugu nje wakati wewe unaugulia genye za kutosha! Marriage ni mateso kwa mwanaume hasa ukioa for the wrong reasons!
Nani anapenda mfia dini 🙄!!