joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hao kwenye mjukwaa wengi ni dk za jioni, ila huku mtaani, mabinti kwenye ubora wao 17-25,target yao ni wahuni, playboy na waume za watu.Ingia majukwaa ya love connect ujionee wanataka mwenye hofu ya Mungu
Unapenda wa mwendo wa mateka mikono juu, heka heka...Nani anapenda mfia dini 🙄!!
Awapi
Ofcooooozzzzzz! Wa hekaheka ndio medula inanikaa sawa😁😁😁Unapenda wa mwendo wa mateka mikono juu, heka heka...
Unadinywa ghafla tu...
Pokea video call usiku wa manane...Ofcooooozzzzzz! Wa hekaheka ndio medula inanikaa sawa😁😁😁
Mdinyo wa ghafla unanouga😋😛
Weee videocall zako ukienda mbinguni nimekaa paleeee 😁😁😁!Pokea video call usiku wa manane...
Bahati mbaya siyo kwa kudhamiria...Weee videocall zako ukienda mbinguni nimekaa paleeee 😁😁😁!
Mmh wanaume wachamungu acheni uongo jamani, mbona hampendwi.....
We upo vizuri 😁Unasema hunipendi kisa navunja madhabahu kila siku usiku mnene
We upo vizuri 😁
View attachment 3332830
Kumbaka how na mtu nalala nae..Kumbaka mkeo ni kesi nyingine mkuu
Hiyo kweli Ili umpgie magoti na akutawale Kwa kutumia papuchi!!Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Wakati ukisema tu yakuz yavuz anaachia.....Kumbaka how na mtu nalala nae..
What are talking about