luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kiukweli sipendi kusomasoma ila nature ya maisha yangu najikuta nasoma.
Kwanza huo muda sinaga kusoma li kitabu likubwa dah.
Kuna siku moja classmate wangu alikuwa mtu mzima alinambia kwa hii coz ulosoma lazima usome vitabu vikubwa. Ahaaa.
Nikamjibu mm ni msikilizaji mzuri mwalimu anachofundisha darasani anakutana nacho kwenye karatasi ya majibu. Na ndo nilisomaga hivyo hivyo.
Mimi napenda mtu aongeee afu mimi niandike nilichoelewa. Sijawahi kusoma kitabu nikakimaliza naishia nusu au specific topic
Ambavyo sipendi kusoma ma vitabu na uzee huu kuna lugha nipo naisoma dah maisha haya!