Reading habit ipo kwa wenzetu. Sisi wengi wetu usomaji hata magazeti tu shida unless habar ikae kuvutia zaidi interest za mitaani. Wengi sisi hatuvutiwi wala hatuna interest na vitabu au makala za kuelimisha, ndio mana kusoma vitabu vya kujiongezea maarifa mbalimbali ni shida bila kujali lugha iliyotumika.
Kwenye masebule yetu hatuna kabati la vitabu wala magazeti au magazine. Ila makabati ya vyombo . Kuna miaka ya katikati hapo kabla simu janja hazijawa nyingi kulikuwa na magazine fulani watu walipendelea kusoma ..ila leo hayaonekanai. Watu tuko busy na mitandao kwenye simu zetu..