Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Sasa we kijana mbona umeanzia mbali kujua uwepo wa MUNGU. So umeanzia kwako mwenyewe, Je mwanadamu alitokea wapi? Anzia hapo Tanya hizo tafiti.ndio Sasa uje kutafuta huyu anayeitwa MUNGU. HIVI una habari sisimizi akiwa kwenye basi Wala hajui kuwa basi linatembea au limesimama.

Hata basi likifika Mwanza kwa mfano sisimizi anajiona Yuko pale pa siku zote.
 
Mfano wako wa sisimizi unahusiana nini na mjadala huu? Elezea
 
Unachokisoma Leo hii hakitakusidia kumjua huyo Mungu umtakaye
Mungu hayupo....Mimi kusema hivyo hakunizuii kusikiliza hoja za MTU anaesema mungu yupo.

Kama unasema mungu yupo weka hoja tujadili.
 
Mfano wako wa sisimizi unahusiana nini na mjadala huu? Elezea
😃😄Kama vile sisimizi asivyo kuwa na maarifa kujua Kama Yuko kwenye basi au aridhini, Kama asivyojua Kama yupo dereva au la na wewe NI sawa na sisimizi tu, hayo Mambo yako mbali sanaaaa na upeo wa akili yako. I
 
Dada Connie, hayo makosa kwenye hivyo vitabu umejuaje ni makosa? umetumia kipimo gani kujua ni makosa? Hizo habari nyingi zenye utata huoni labda inatokana na kutozielewa kabisa hasa kutokana na utafiti ulioufanya kwa miaka 2 tu?

Hao uliowafuata kama viongozi wa dini unaamini vipi majibu yao yangeweza kukupa majibu ya sahihi wakati wako ndani?? ni majibu gani ulioyapata nje ya hao?
 
Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Mbona unababaika,,,Jisimamie na jiamini na uwe na kauli moja,,,Unaonyesha una tatizo kwenye uelewa wako maana unatafuta makosa ndani ya vitabu vyenye makosa..
 
Unaweza kutaja vitu ambavyo falsafa inamfanya MTU aone havipo na vile ambavyo havipo vionekane kuwepo?
Falsafa ni arm chair thinking. Kwa hiyo naweza hata sasa hivi nikatumia logical arguments na ku-prove kwamba wewe haupo; halafu in the same way, nikatumia the same logical arguments ku-prove kwamba binadamu aliwahi kuishi akiwa kama nyani
 
😃😄Kama vile sisimizi asivyo kuwa na maarifa kujua Kama Yuko kwenye basi au aridhini, Kama asivyojua Kama yupo dereva au la na wewe NI sawa na sisimizi tu, hayo Mambo yako mbali sanaaaa na upeo wa akili yako. I
Unazidi kuipa hoja yangu nguvu kuwa hizi imani zinasababishwa na uvivu wa kufikiri..

Unataka kusema kama jambo lipo mbali na upeo wetu tuliache kama lilivyo na tusihangaike kulijua tuiishie kuamini?
 

1. Kwanza umebisha na kukataa hoja zao bila kuleta hoja zako hii inaonesha hauelewi nini maama ya mjadala siku zote uki object point ya mtu basi leta ya kwako yenye mantiki KITU AMBACHO HAUJAFANYA.

2. Nimekuomba ulete ushahidi wako wa kwamba nini kiliumba au kilileta binadamu bado unaniuliza maswali ambayo yaani unazidisha maswali zaidi inaonesha HAUNA UELEWA WANINI MAANA YA MJADALA.
 
☝️😂 ona huu ujinga..... haujapinga kitu maana haujaleta points zako kuweza ku counter hoja za wale wanaosema Mungu yupo na mfano wako wa hesabu ni GARBAGE.

Nikuoneshe wapi ulipovurunda ulisema unaweza kujua uongo bila ya jibu sahihi na ukaleta mfano wa hesabu na ukasimamia kwamba umejua jibu la hesabu yako ni la uongo kutokana na kanuni ya kuzidisha ambayo ni kwamba namba mbili nzima zinapozidishwa basi jibu lazima liwe kubwa kuliko namba zinazozidisha UKASAHAU KWAMBA hata sifuri ni namba nzima sasa swali langu KANUNI YAKO YA KUZIDISHA INAELESEA VIPI SWALI HILI

2×0= 0 : HOW COMES JIBU NI DOGO KULIKO NAMBA ZIDISHI?
 
Bado tunarudi palepale....ninachokifanya mimi ninahoji uthabiti wa dhana ya uwepo wa mungu, wewe unanilazimisha nijue kwanza jibu la ulimwengu ulitoka wapi ndio nihoji uthabiti wa dhana ya mungu.

Unaniuliza 11×11 ni ngapi nakwambia sijui, unaniambia jibu ni 121.
Je nakosea nikikuhoji kuwa hiyo 121 umeipata vipi kwasababu tu sijui jibu LA 11× 11 ni ngapi?
 
Falsafa ni arm chair thinking. Kwa hiyo naweza hata sasa hivi nikatumia logical arguments na ku-prove kwamba wewe haupo; halafu in the same way, nikatumia the same logical arguments ku-prove kwamba binadamu aliwahi kuishi akiwa kama nyani
Kwanini unaandikia mate??
 
Ni ujinga mtupu hakuna upuuzi unaoitwa mungu. Mijitu imejitungia habari kichwani tu.
 
Ajithibitishe unaweza kumudu uthibitisho mkuu? Ikiwa tu mtu shabiki akimuona Marioo live anapagawa, Wewe Mungu akijithibitisha kwako utapumua mara mbili?
 
Kufikiria tu mtu mwanaume akamwaga shawaha zake kwa mtu mwanamke Kisha akapatikana kiumbe chenye damu na nyama kwa rangi tofauti tofaut Kama mweus ,mweupe ,nk

MUNGU IS REAL

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo infinity series zipo.
Hata 1+2+3... Ni infinity series.
Ni uhalisia au wazo lako wewe na watu wa hesabu ? Naomba uthibitishe kama kuna Infinity series na uniambie nini maana yake hasa ?

Hakuna "Infinity Series" katika uhalisia.
Sijabadili chochote zaidi ya kukupa ufafanuzi na mfano husika.

Siyo vitu Bali ni Mola pekee kuwepo kwake hakuhitaji chanzo sababu hajawahi kutokuwepo yeye yupo. Sasa chanzo Cha kila kitu kinahitaji vipi kuwa na chanzo ?

Taka vitu viwili ambavyo ambavyo having chanzo na utuonyeshe imekuwaje vikawepo na ututhibitishie.
 
Andika kwa mifano, mfano uliposema unaweza kuthibitisha mimi sipo ungethibitisha kabisa sio kuishia kuandikia mate
Unajua maana ya Falsafa; kwanza labda turudi huko. Falsafa ni nini, by definition?
 
Ww ni mjinga wa tafsiri ya neno imani, Imani sio uhalisia. Ishia tu hapo hapo usiendelee.
Nimecheka sana, nimekupa kazi naona umeshindwa.

Sasa kama Imani siyo uhalisia onyesha ya kuwa Imani si uhalisia.

Siyo tu maana Bali najua mpaka uzani wa tamko Imani huko lilipo chukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…