Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Utamuonaje mtu asiye kuhusu??...Mungu ana watoto wake ndo sisi tunajua alipo!! atakuja lini!! km weye ni ttotot la ibilisi hautuhusu nenda kwa libaba yako!

sie tuache na Mungu wetu!...anatupa mijipesa mimali km yooote kwisha!
 
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.

Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"

Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?

Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.

Kwanini nimefikia hitimisho hilo?

Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.

Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.

1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.

2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.

Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.

Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.

Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.
Hizi mambo ukisoma kidogo ukajihisi umesooooma basi lazima uconclude hivyo🤣
 
Wewe unaeamini kwamba hakuna Mungu na unaeamini wanaojiita wanasayansi na sayansi Yao,,je wewe sio zombi wa wanasayansi??

Kingine hudhanii kwamba Mungu humjui kwa sababu ya daraja/class alio nayo,,,,,yaani Kuna watu wenye class na huwezi kuwa nao karibu na Wala huwezi kuwakaribia au kuwafikia?? Basi jueni nyie wafuasi wa sayansi wote kwamba kama Kuna protocol za kuwafikia watu valuable,,,au Kuna protocol za kuvifikia vitu most valuable kama madini ya almasi au any rare earth mineral,,,,,basi mjue kwamba Mungu ni more than valuable things na class yake imesupress class ya Marais,,wafalme na matajiri kwa hio protocol za kumfikia au kumkaribia ni za Hali ya juu mtu kama wewe ambae ukiomba hata appointment ya kumuona mkuu wa mkoa ukakaa mwaka mzima ni Bora ungekuwa humble ujifunze protocol za kumjua na kumkaribia Mungu ambae value na class yake hakuna anaeifikia.
Mungu huyo unayemtetea hayupo...mnalazimisha kitu ambacho hakipo kiwepo.
 
Kisai hivi huwezi kujiuliza kwanini huyo mungu mwenye upendo awatupie shetani huku duniani?
ambaye shetani huyo anawaongezea option ya "mabaya" kwenye uchaguzi wenu na ambapo ukichagua option hiyo unachomwa moto?
huyo mungu anawapenda?

yani wewe mwanao mpendwa unamfungia banda moja na mbwa mwenye kichaa halafu unasema unampenda?

huoni kwamba huyo mungu katungwa tu wala hayupo?
 
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.

Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"

Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?

Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.

Kwanini nimefikia hitimisho hilo?

Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.

Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.

1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.

2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.

Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.

Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.

Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.
UKIWA NA USHETANI KICHWANI UKUPELEKEA KUWAZA UPUMBAVU TU, AYA NGOJA UFARIKI UENDE UKABISHANE NAE MAUTINI
 
Kisai hivi huwezi kujiuliza kwanini huyo mungu mwenye upendo awatupie shetani huku duniani?
ambaye shetani huyo anawaongezea option ya "mabaya" kwenye uchaguzi wenu na ambapo ukichagua option hiyo unachomwa moto?
huyo mungu anawapenda?

yani wewe mwanao mpendwa unamfungia banda moja na mbwa mwenye kichaa halafu unasema unampenda?

huoni kwamba huyo mungu katungwa tu wala hayupo?
MMETUMWA MJE KUMTUKANA MUNGU AYA BANDIKENI MABANGO MABARABARANI NYIE NDIE MUNGU UMBENI ARDHI ZENU NA VIUMBE VYENU NA MJIZUIE MSIZEEKE WALA MSIFE WANA WA IBILISI NYIE
 
Kisai hivi huwezi kujiuliza kwanini huyo mungu mwenye upendo awatupie shetani huku duniani?
ambaye shetani huyo anawaongezea option ya "mabaya" kwenye uchaguzi wenu na ambapo ukichagua option hiyo unachomwa moto?
huyo mungu anawapenda?

yani wewe mwanao mpendwa unamfungia banda moja na mbwa mwenye kichaa halafu unasema unampenda?

huoni kwamba huyo mungu katungwa tu wala hayupo?
Kola siku huwa nawaambia, shida yenu mnajadili jambo ambalo hamna Elimu nalo. Sasa huwa najiuliza hili kwenu linawezekana vipi ?

Jambo liko hivi, shetani atawapoteza tu wale watu ambao hawafati mafundisho ya Mola muumba, lakini Allah hakutuacha hivi hivi alivymtoa katika rahma zake Ibilisi, Ibilisi alimuomba Allah ombi moja kwamba asimuue mpaka kitakapo karibia Kiyama, ombi Hilo alikubaliwa. Lakini tumefundishwa njia kadha wa kadha za kumuepuka kiumbe huyo aliye laaniwa.

Hapa nakuuliza swali la msingi sana, unajuaje kitu Fulani hakipo ?
 
Jambo liko hivi, shetani atawapoteza tu wale watu ambao hawafati mafundisho ya Mola muumba,
Allah anajitaja yeye ndie anapoteza watu kwa kufanya wasiamini kabisa

Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,

Kisai acha kupotosha watu humu
 
Poa.
 
Onyesha kuwa kila kitu kimeshatokea muda mrefu nyuma na hivi tuvionavyo sasa pamoja na sisi wenyewe ni illusion.
Follow your dreams, wanakwambia wameona future that is not a future but totaly past, Dimensionally ukiona future yako inaweza kufaamika ujue kwenye realm rank kuna kuna kitu juu yako amakina uwezo kuliko ww
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Kwa nini imani ya Mungu inajengwa katika vitisho kama hivi? Kwa nini tutishane ili tumkubali?
 
Back
Top Bottom