Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Utamuonaje mtu asiye kuhusu??...Mungu ana watoto wake ndo sisi tunajua alipo!! atakuja lini!! km weye ni ttotot la ibilisi hautuhusu nenda kwa libaba yako!

sie tuache na Mungu wetu!...anatupa mijipesa mimali km yooote kwisha!
 
Hizi mambo ukisoma kidogo ukajihisi umesooooma basi lazima uconclude hivyo🤣
 
Mungu huyo unayemtetea hayupo...mnalazimisha kitu ambacho hakipo kiwepo.
 
Kisai hivi huwezi kujiuliza kwanini huyo mungu mwenye upendo awatupie shetani huku duniani?
ambaye shetani huyo anawaongezea option ya "mabaya" kwenye uchaguzi wenu na ambapo ukichagua option hiyo unachomwa moto?
huyo mungu anawapenda?

yani wewe mwanao mpendwa unamfungia banda moja na mbwa mwenye kichaa halafu unasema unampenda?

huoni kwamba huyo mungu katungwa tu wala hayupo?
 
UKIWA NA USHETANI KICHWANI UKUPELEKEA KUWAZA UPUMBAVU TU, AYA NGOJA UFARIKI UENDE UKABISHANE NAE MAUTINI
 
MMETUMWA MJE KUMTUKANA MUNGU AYA BANDIKENI MABANGO MABARABARANI NYIE NDIE MUNGU UMBENI ARDHI ZENU NA VIUMBE VYENU NA MJIZUIE MSIZEEKE WALA MSIFE WANA WA IBILISI NYIE
 
Kola siku huwa nawaambia, shida yenu mnajadili jambo ambalo hamna Elimu nalo. Sasa huwa najiuliza hili kwenu linawezekana vipi ?

Jambo liko hivi, shetani atawapoteza tu wale watu ambao hawafati mafundisho ya Mola muumba, lakini Allah hakutuacha hivi hivi alivymtoa katika rahma zake Ibilisi, Ibilisi alimuomba Allah ombi moja kwamba asimuue mpaka kitakapo karibia Kiyama, ombi Hilo alikubaliwa. Lakini tumefundishwa njia kadha wa kadha za kumuepuka kiumbe huyo aliye laaniwa.

Hapa nakuuliza swali la msingi sana, unajuaje kitu Fulani hakipo ?
 
Jambo liko hivi, shetani atawapoteza tu wale watu ambao hawafati mafundisho ya Mola muumba,
Allah anajitaja yeye ndie anapoteza watu kwa kufanya wasiamini kabisa

Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,

Kisai acha kupotosha watu humu
 
Allah anajitaja yeye ndie anapoteza watu kwa kufanya wasiamini kabisa

Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,

Kisai acha kupotosha watu humu
Poa.
 
Onyesha kuwa kila kitu kimeshatokea muda mrefu nyuma na hivi tuvionavyo sasa pamoja na sisi wenyewe ni illusion.
Follow your dreams, wanakwambia wameona future that is not a future but totaly past, Dimensionally ukiona future yako inaweza kufaamika ujue kwenye realm rank kuna kuna kitu juu yako amakina uwezo kuliko ww
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Kwa nini imani ya Mungu inajengwa katika vitisho kama hivi? Kwa nini tutishane ili tumkubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…