Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Nilichogundua baada ya kusoma hii debate ni kwamba wengi mna hofu ya kufikiria nje ya box kwa kukwepa kukufuru kama mlivyo elezwa vitabu na viongozi wa kidini lakini inabidi ifikie wakati tuzipe akili zetu nafasi ya kufikiri zaidi na sio kukubali majibu ya watu wengine kwa maswali tuliyoshindwa kuyajibu #mbalikila23
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Every one is dying slowly,mtoto aliezaliwa leo peke yake ndie aliebaki nasiku nyingi za kuishi probably. Hivyo kifo sio kitu cha kumtisha nacho ,every one will die its just matter of tym😁ko usiitumie kama presuure yakumalzimisha aamini unachokitaka.kama unajiona uko shallow ka kimyaa,MUTE.😊

KIJANA TUMIA NGUVU ZAKO ZOTE KUTAFUTA UKWEKJ HADII UUJUE.USIAMINI VITU KWA MKUMBO IMANI YAKO ITATETELESHWA.

Sema nn dg ,mtoa maada nikuulize kitu,UNA AMINI KUHUSU SHETANII?
KAMA NDIO, BAS PROBABLY MUNGU YUPO,UNAJUA NN DUNIA INA MAJIBU YA MASWALI MENGI TUNAYOJIULIZA.
MOJA YA JIBU TUNALOLIPATA KWENYE ULIMWENGU NI OPOSITE FORCE.
LIGHT VS DARK
KICHEKO VS KILIO
FURAHA VS HUZUNI
MAARIFAA VS UJINGA
BIRTH VS DIRTH
KWAHIO LAZIMA KWENYE
SATAN VS GOD AWEPO PIA AS OPPOSITE FORCE YA SHSTANI.
SEMA SIO HUYU MUNGU TUNAE AMINISHWA NA DINI ZA WAZUNGU. MM PIA BADO NIPO NACHIMBA NA KUCHIMBUA ILI NIMJUE MUNGU WAKWELI AU NGUVU YA KWELI INAYOITAWALA DUNIAA
 
Ingekuwa MBU anambukiza UKIMWI basi angetuambukiza wengi...

HAKIKA UKUU WA MUNGU MMOJA HAUELEZEKI yaani YEYE NDIO HANA MWANZO WALA MWISHO.
 
Unapaswa uangaliwe, una hoja za msingi 🫡
 
Kiongozi
Nimesoma hoja zako na kujiridhisha kuwa; uwezo wako wa kuchambua na kulinganisha mambo ni mdogo sana yaani huna sifa ya kuhoji habari za Mungu
Ungebahatika kusoma Saiyance ( Physics & Biology) kwa level ya juu kidogo walau ya Chuo ungejua kuwa uwezo wako wa kumchambua Mungu ni kama unalazimisha kubeba TEMBO Kwenye Bajaji
Acha!
 
Sasa si umsaidie kwa hoja ?

KUmkosoa bila hoja wewe ndiyo utakuwa dhaifu kwa kiwango cha juu.

Mpe hoja zenye mashiko.ambazo zinaweza kubadili mtazamo wake
 
Unaposema maandiko yamekosewa au yana mapungufu njoo na fact ulinganisho kwamba Maandiko original ni haya na sio haya. Nje ya hili ni porojo tu
 
Mwanadamu hawezi kuumba chochote chenye uhai, bali anaunda visivyo na uhai.
Mwanadamu hana maamuzi ya kuchagua aishi miaka mingapi duniani.
Au apate bahati ipi, au hakwepe laana ipi.
Mwanadamu anaishi kwa matakwa ya Mungu na sio kwa matakwa yake, thus hatuna chaguzi ya mengi tu.
 
Hqujaeleza hayo makosa ya kimantiki hata kwa mfano tu

Haujaweka hata mstari au hadith yeyote kuhalalisha udhaifu unaousema.

Kimsingi unapambana na akili zako na bado haujagusa ufahamu
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Waswahili wanasema kuruka ruka kw maharagwe ndio kuiva kwake.

Akiendelea kuruka ruka hivi ndio ataiva sawa sawa.
 
Yaani Mungu awe dhaifu, labda mungu wa familia yenu. Mungu wa kweli ni very powerful na huwezi kumchukulia poa
ni moto ulao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…