Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Najua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. Wanapenda amani na utulivu.
2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.Wanapenda sana kunyanduana.
4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.Hawapendi kufokewafokewa.
6.Ni greater thinkers.

Unaweza kuongezea na wewe.
 
Najua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.

unaweza kuongezea na wewe.
Tofautisha upole na ukimya.
Mtu anaweza akawa mkimya asiwe mpole. Moyo wake una chuki, uadui na kisirani. Yuko kimyaaa tu
 
Najua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.

unaweza kuongezea na wewe.
UMEACHA SIFA ZAO ZA MSINGI UMEANDIKA SIJUI MA NINI
1.Vicheche sana haswa ukute mpole alafu hanuwi pombe maana sifa hizi zinaendana
2.Ni warahisi kuteka moyo wa msichana au mwanaume kwa sababu ya watu kuchanganya sifa ya upole na tabia nzuri kumbe ni vitu viwili tofauti.
3. Wanaongoza kuacha au kufanya matukio yanayoweza ustua moyo wa wenzi wao kwa sababu wapole huaminika haraka kuliko sisi waongeaji.
4.Wanajifanya wazee wa misimamo kwenye kila jambo mpaka wanaharibu ladha ya maisha
 
ahaaa mkuu hivi wasichana wanapendaa wanaume wapole au wacheshi?
umenifurahishaa kwamba ni rahisi kuuteka moyo wa msichanaa
 
Back
Top Bottom