Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

Kwanza upole ni Tabia Nani wachache mno wenye hyo Tabia tatizo letu wengi tunachanganya utulivu na upole tunafikiri utulivu au ukimya ni Tabia lahasha...watu wengi wanaweza kuwa wakimya au watulivu lakin si wapole...dada zetu wanapigwa Chenga Sana maana wengi hawajui kutofautisha hiki kitu.
But actually mtu akiwa mpole, atakuwa mkimya na mtuliivu.

Hebu fafanua kwa kutofautisha ili tupate somo.
 
Upole ni tabia nzuri ndio maana watu wengi hupenda kujinasibisha nayo.

Ila wewe ni kapole sana hata mwandiko wako tu unaonekana[emoji1787]
Ni kweli ila siyo sana ni kidogo tu[emoji23]
 
Mara nyingi mtu akiwa mpole huwa hajijui kama ni mpole, ila baada ya watu wengine kumwambia kuwa yeye ni mpole au kuwasikia.

Kwa sababu hata mtu mpole naye hujiona yupo sawa tu (mchangamfu) kama watu wengine.

Hivyo ukiona unajiita wewe ni mpole lakini hujawahi kusikia watu wengine wakisema kuwa wewe ni mpole, basi huwenda hiyo sifa huna bali unajifanyisha.
 
Nikijiongelea mim moyoni najijua sio mpole lakn ni mkimya(naongea na watu niliowazea tu)
Upole hapana make ukinizingua pale pale utapata ulichokitafuta.
Nipo mkimya na aibu naona mwanangu nae karithi ukimya huu.

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Hivi upole unaendana na aibu au Ni ukimya ndiyo unaendana na aibu??
 
.msisahau hao watu visasi vyao huwa ni vikubwa na vinaishia kmya kmya
.madomo zege ya kutupwa[emoji3]
.wanajishtukia kila wakat
.wanapenda nyimbo za taratibu
.ni washenzi
.kwenye sherehe bila kulia chakula ndani bora aache kula na aondoke
.wanapenda vibaya
.....

Sasa mtataja sifa za watu wenye OCD
 
Back
Top Bottom