Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiombe akupige tukio halafu ujitie kumwagia sifa mbaya. Jamii inawaamini sana na kuwapa heshima sana.usisahahu kuwa wanapenda kuwa matajiri, huwa hawaweki mipango yao wazi, hadi wafanikiwe, huwa wanaogopa kuweka wazi wakihofia kukatishwaa tamaaa.
Wana aibu sana.msisahau hao watu visasi vyao huwa ni vikubwa na vinaishia kmya kmya
.madomo zege ya kutupwa[emoji3]
.wanajishtukia kila wakat
.wanapenda nyimbo za taratibu
.ni washenzi
.kwenye sherehe bila kulia chakula ndani bora aache kula na aondoke
.wanapenda vibaya
.....
Huyu mimi kabisa[emoji1787]Wengi watakao komenti hapa utakuta wanajifanya imewagusa eti. Yaani na wao ni wapole[emoji1787]
Hapa sasa ndo umetoa sifa zetu na mimi naona kama kuna sifa zimenipitia pitia hapo isipokuwa udomo zege na hilo la sherehe...achilia mbali kula hata kuenda huwa siendi.msisahau hao watu visasi vyao huwa ni vikubwa na vinaishia kmya kmya
.madomo zege ya kutupwa[emoji3]
.wanajishtukia kila wakat
.wanapenda nyimbo za taratibu
.ni washenzi
.kwenye sherehe bila kulia chakula ndani bora aache kula na aondoke
.wanapenda vibaya
.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mimi kabisa[emoji1787]
Watu wanaoongea hovyo huwa mistari yao ni mibovu..msisahau hao watu visasi vyao huwa ni vikubwa na vinaishia kmya kmya
.madomo zege ya kutupwa[emoji3]
.wanajishtukia kila wakat
.wanapenda nyimbo za taratibu
.ni washenzi
.kwenye sherehe bila kulia chakula ndani bora aache kula na aondoke
.wanapenda vibaya
.....
[emoji1]wewe sio mpole?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mpole Sana[emoji4][emoji4][emoji1]wewe sio mpole?
7. wanafki wa chini chiniNajua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.
unaweza kuongezea na wewe.
Upole ni tabia nzuri ndio maana watu wengi hupenda kujinasibisha nayo.Mimi ni mpole Sana[emoji4][emoji4]