Ni watu waelewa sanaNajua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.
unaweza kuongezea na wew
Tofautisha upole na ukimya.Najua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.
unaweza kuongezea na wewe.
UMEACHA SIFA ZAO ZA MSINGI UMEANDIKA SIJUI MA NININajua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. wanapenda amani na utulivu.
2.si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.wanapenda sana kunyanduana.
4.wanafanya kazi kwa bidii sanaa.
5.hawapendi kufokewafokewa.
6.ni greater thinkers.
unaweza kuongezea na wewe.
ahaaa mkuu hivi wasichana wanapendaa wanaume wapole au wacheshi?UMEACHA SIFA ZAO ZA MSINGI UMEANDIKA SIJUI MA NINI
1.Vicheche sana haswa ukute mpole alafu hanuwi pombe maana sifa hizi zinaendana
2.Ni warahisi kuteka moyo wa msichana au mwanaume kwa sababu ya watu kuchanganya sifa ya upole na tabia nzuri kumbe ni vitu viwili tofauti.
3. Wanaongoza kuacha au kufanya matukio yanayoweza ustua moyo wa wenzi wao kwa sababu wapole huaminika haraka kuliko sisi waongeaji.
4.Wanajifanya wazee wa misimamo kwenye kila jambo mpaka wanaharibu ladha ya maisha