Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

.msisahau hao watu visasi vyao huwa ni vikubwa na vinaishia kmya kmya
.madomo zege ya kutupwa[emoji3]
.wanajishtukia kila wakat
.wanapenda nyimbo za taratibu
.ni washenzi
.kwenye sherehe bila kulia chakula ndani bora aache kula na aondoke
.wanapenda vibaya
.....
 
Wana aibu sana
 
Hapa sasa ndo umetoa sifa zetu na mimi naona kama kuna sifa zimenipitia pitia hapo isipokuwa udomo zege na hilo la sherehe...achilia mbali kula hata kuenda huwa siendi
 
Watu wanaoongea hovyo huwa mistari yao ni mibovu.
Wengi wao hupona kwa madada poa.
 
7. wanafki wa chini chini
 
Kwanza upole ni Tabia Nani wachache mno wenye hyo Tabia tatizo letu wengi tunachanganya utulivu na upole tunafikiri utulivu au ukimya ni Tabia lahasha...watu wengi wanaweza kuwa wakimya au watulivu lakin si wapole...dada zetu wanapigwa Chenga Sana maana wengi hawajui kutofautisha hiki kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…