Mkuu tuambie sasa viashiria kwamba dunia inaizunguka jua.Kwanza ni lazima umjue kama anajua kuwa dunia (earth) ni sayari (planet) na jua (sun) ni nyota (star) kama anajua hili ni rahisi kumuelezea ila kama hili halijui basi kazi inakuwa kubwa zadi, inabidi humuanzishie ile jiografia ya std v.
1: USIKU NA MCHANAMkuu tuambie sasa viashiria kwamba dunia inaizunguka jua.
Unachitakiwa ueleze unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua? Hili swali si la kitoto ninachotaka ni uthibisho Kama we umesoma hiyo geography ya form ndo utueleze ili kutuelewesha.SWARI LAKO LA KITOTO NENDA KASOME GEOGRAPHY YA FORM 1 TOPIC SOLAR SYSTEM
Nimekuelewa mkuu, nadhani Polisi jamii kakujibu vizuri tu hapo, mimi nakupa video huone jinsi dunia inavyozunguuka, sio bla bla.Mkuu tuambie sasa viashiria kwamba dunia inaizunguka jua.
Astronomers wa kale walitumia sundial kujua msimu husika huku wakiassume kwamba jua linaizunguka dunia, Kama hizo bodies zipo katika elliptic way kwani haiwezekani kwa jua kuwa orbit yake inachange na kusababisha misimu kubadilika?matokeo ya dunia kuzunguka jua ni mabadiliko ya misimu kwa mwaka mzima mfano kiangazi na kadhalika
ingekua jua ndilo hulizunguka dunia matokeo yangekua usiku na mchana basi kungekua na msimu mmoja tu usiobadilika
Ni ngumu kusema usiku na mchana pekee bila Maelezo kwamba ni uthibitisho wa earth revolution, hiyo inaelezea tu namna dunia inavyozunguka lakini haionyeshi uthibitisho wowote, ukipitia Ptolemy concepts japo zilikuwa na flaws lakini aliweza kupredict position za planet japo si accuracy, kwa hiyo mtu afahamu unaweza kukubaliana na geocentric theory.Nimekuelewa mkuu, nadhani Polisi jamii kakujibu vizuri tu hapo, mimi nakupa video huone jinsi dunia inavyozunguuka, sio bla bla.
Unaonekana mjuzi ila umekosea namna kuwasilisha uzi wako! Nadhani nia yako ilikuwa kuchallenge hii nadharia ya Dunia kuzunguka jua..Astronomers wa kale walitumia sundial kujua msimu husika huku wakiassume kwamba jua linaizunguka dunia, Kama hizo bodies zipo katika elliptic way kwani haiwezekani kwa jua kuwa orbit yake inachange na kusababisha misimu kubadilika?
arif nowdays hatutegemei nadharia sitaki kuamini kwamba hujui kuwa kuna man made satellites ambazo zina toa taarifa sahihi kuhusu mzunguko wa dunia kuzunguka juaAstronomers wa kale walitumia sundial kujua msimu husika huku wakiassume kwamba jua linaizunguka dunia, Kama hizo bodies zipo katika elliptic way kwani haiwezekani kwa jua kuwa orbit yake inachange na kusababisha misimu kubadilika?
Kwa sababu dunia inajizungusha kwenye mhimili wake!!KABLA HAUJAJIBIWA JIULIZE MWENYEWE KWANZA KWANINI KUNA USIKU NA MCHANA
Kwa sababu orbit ya jua sio perfect circle Bali ni elliptic hivyo hufanya wakati mwingine kuwa mbali na dunia na wakati mwingine kuwa karibuni basis ndio sababu ya mabadiliko ya misimu.NA KWANINI KUNA MABADILIKO YA HALI YA HEWA,
Hayo ndo majibu niliyoyapata lakini nimeshindwa kuona viashiria vya dunia kuizunguka jua!! Najuaje kwamba dunia inaizunguka jua?UKIWEZA PATA MAJIBU YA HAPO BASI SWALI LAKO LIMEJIBIWA
Yes, kwa jinsi anavyoenda inaonyesha kuwa hilo ndio lengo lake.Unaonekana mjuzi ila umekosea namna kuwasilisha uzi wako! Nadhani nia yako ilikuwa kuchallenge hii nadharia ya Dunia kuzunguka jua..
Sasa badala atoe tu hoja zake, anazunguka mbuyu tu!!Yes, kwa jinsi anavyoenda inaonyesha kuwa hilo ndio lengo lake.
Nionyeshe hizo taarifa ambazo zinaonyesha dunia inaizunguka jua, Ptolemy concepts ni nadharia tu? Hujui unaweza itumia Ptolemy model na ukapredict position za sayari bila kutumia hata hizo man made satellite japo haipo accuracy?arif nowdays hatutegemei nadharia sitaki kuamini kwamba hujui kuwa kuna man made satellites ambazo zina toa taarifa sahihi kuhusu mzunguko wa dunia kuzunguka jua
Yes, kwa jinsi anavyoenda inaonyesha kuwa hilo ndio lengo lake.
Hoja zipi wakuu, hapa tunajadili ili kuelimishana, Kama nyie mnafahamu inapaswa muwekee ufahamu wenu sa shuleni unafundishwa tu lakini hivyo unavyofundishwa vinakupa maswali mengi,.Yes, kwa jinsi anavyoenda inaonyesha kuwa hilo ndio lengo lake.
Sasa badala atoe tu hoja zake, anazunguka mbuyu tu!!