Hii mifano yako unaweza kuifanyia simple prac demonstration na ukamuelezea MTU na akakuwelewa.
Hiyo wala sio hoja yangu ya msingi na siwezi kuweka hii hoja kwa sababu ilishawekwa humu na chief mkwawa
Je! ni kweli dunia inazunguka jua?
Yawezekana ikawa hivyo kwa jinsi unadhani, hoja zangu hazipo kwa ajili ya kuipinga heliocentric na kuikubali geocentric, Mimi ninachotaka kufahamu ni kwamba unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua?.
Yeyote anaweza kuamini chochote kile anachoona yeye ni sawa wala haina shida, ila kisayansi lazima hiyo nadharia iwe ni testable kwa kutumia observation na experiment tofauti tofauti, kwa hiyo hao wasemao dunia flat kama wana observations ambazo zinaeleweka haina shida pia naweza kukubaliana nao au pia nikakataa endapo nitakuwa na observation nyingine ambayo inaiprove wrong hiyo nadharia.
Sikuanzisha hii nyuzi ili kusupport geocentric theory kama unataka mjadala wa hivyo ulishawekwa kitambo kwenye hii link
Je! ni kweli dunia inazunguka jua?
Hata mi naona unanipotezea mda tu, maana kwenye post yote hakuna hata sehemu moja inayojibu swali langu
Unajuaje kama dunia inalizunguka jua?.