Unajuaje kama dunia inalizunguka jua?

Unajuaje kama dunia inalizunguka jua?

ulitaka kujiona leo upo washington,kesho shangai,keshokutwa sydney,mtondogoo abuja ndio ujue unazunguka?
Yani Kama inewezekana hivyo haina shida, kwani mkuu wewe unawajuaje Kama dunia inaizunguka jua na si vinginevyo.
 
Sina tatizo kabisa na hao wanasayansi nimesoma Copernicus na revolution of heavenly bodies, kwa sasa pia napitia Principia ya newton pia nazifuatilia Kepler theories zote pia naziangalia experiments za Galileo pamoja na Almagest ya Ptolemy, hiyo video nimeangalia kuna kitu kimoja nilichokuwa nakitaka hasa "sidereal" lakini jamaa hakuelezea kuhusu "synodic" hizi concepts ndio real orbit ambazo zinaonyesha dunia pamoja na sayari zingine zinazunguka jua na sio na observations zake hata ww unaweza zifanya. Sio mnaniambia sijui usiku na mchana, kubadilika kwa misimu, hivi viashiria mimi naviona viko weak Sana kuonyesha dunia inaizunguka jua. Pia io video kiasi kikubwa ilikuwa anaeleze maswala ya kalenda tu.
Kiingilishi nina aleji nacho, ili usiniache niongeleshe kwa lugha yangu ya Tandale kwa Tumbo. Nikirudi kwenye mada, kama mimi/sisi hautuelewi je, na hao unaosema unawasoma na vitu vyooooooote unavyovisoma navyo uvielewi ............ Ila nadharia ya mtu mmoja tu ndio umeielewa ya kwamba jua ndio inayozunguuka jua ................. Hebu naomba unielezee hilo jua kama inazunguuka dunia,inakuwaje kwa sayari nyingine nazo ni jua ndio inazizunguuka au kwenye hizo sayari inakuwaje ?????
 
Kiingilishi nina aleji nacho, ili usiniache niongeleshe kwa lugha yangu ya Tandale kwa Tumbo.
OK ngoja nifafanue
Sidereal ni ule mda ambao sayari ama body yoyote inachukua katika kurudi nafasi(position) ya ile nyota ili nyuma yake (background star) yaani kwa mfano mwezi ukiandama si unaona pale panakuwa pana nyota sasa sidereal yenyewe ule mda ambao utachukua kurudi kwenye position ya ile nyota.
Synodic ni kile kipindi ama mda ambao sayari au body yoyote inachukuwa kurudi katika ile sura au muonekano(phase) ya mwanzo kwa mfano mwezi ukiwa umeandama muonekano wake si unaonekana Kama ndizi flani hivi sasa hii synodic ndo inahesabu mda mpaka ule mwezi kurudi kwenye muonekano wa ndizi.
Hizi concept ndo zinaitwa real orbit time.

Nikirudi kwenye mada, kama mimi/sisi hautuelewi
Mi sijasema kwamba hamuwelewi mi nilichokuwa nakihitaji ni kuelewesha lakini kwa bahati mbaya hoja mlizokuwa mnatoa mi sijaridhika nazo.

je, na hao unaosema unawasoma na vitu vyooooooote unavyovisoma navyo uvielewi
Kuna vingine navielewa vingine sivielewi ila kwa kiasi kikubwa navielewa.

............ Ila nadharia ya mtu mmoja tu ndio umeielewa ya kwamba jua ndio inayozunguuka jua .................
Kwanza kabisa mi sikusema kwamba "jua ndio inayozunguka jua" Bali nilikuwa nahoji unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua we majibu yako yaliegemea kwenye nadharia hiyo dunia inaizunguka jua sasa nami ili nipate kuelewa ilibidi niegemee kwenye upande wa geocentric theory ambayo imeelezewa vizuri kabisa na Ptolemy si kwamba nimemuelewa ama nimeelewa nadharia ya mtu mmoja hapana!!

Hebu naomba unielezee hilo jua kama inazunguuka dunia,inakuwaje kwa sayari nyingine nazo ni jua ndio inazizunguuka au kwenye hizo sayari inakuwaje ?????
OK, hapa changamoto kidogo ila iko hivi hizo sayari zingine zote zinaizunguka dunia, na hizo sayari zinakuwa na duara zake zingine ndogo ambazo zinaitwa epicircle hii ni katika kuonyesha retrograde motion ya hizo sayari.
 
Kama jua ni moja na linaizunguka dunia, bas sayar nyingine zisingepata usiku na mchana wala misimu. Labda kama nazo zna majua yke!
Kiaje mbona sijakuwelewa mzee, kwani usiku mchana unasababishwa na nini?
 
OK ngoja nifafanue
Sidereal ni ule mda ambao sayari ama body yoyote inachukua katika kurudi nafasi(position) ya ile nyota ili nyuma yake (background star) yaani kwa mfano mwezi ukiandama si unaona pale panakuwa pana nyota sasa sidereal yenyewe ule mda ambao utachukua kurudi kwenye position ya ile nyota.
Synodic ni kile kipindi ama mda ambao sayari au body yoyote inachukuwa kurudi katika ile sura au muonekano(phase) ya mwanzo kwa mfano mwezi ukiwa umeandama muonekano wake si unaonekana Kama ndizi flani hivi sasa hii synodic ndo inahesabu mda mpaka ule mwezi kurudi kwenye muonekano wa ndizi.
Hizi concept ndo zinaitwa real orbit time.

Mi sijasema kwamba hamuwelewi mi nilichokuwa nakihitaji ni kuelewesha lakini kwa bahati mbaya hoja mlizokuwa mnatoa mi sijaridhika nazo.

Kuna vingine navielewa vingine sivielewi ila kwa kiasi kikubwa navielewa.

Kwanza kabisa mi sikusema kwamba "jua ndio inayozunguka jua" Bali nilikuwa nahoji unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua we majibu yako yaliegemea kwenye nadharia hiyo dunia inaizunguka jua sasa nami ili nipate kuelewa ilibidi niegemee kwenye upande wa geocentric theory ambayo imeelezewa vizuri kabisa na Ptolemy si kwamba nimemuelewa ama nimeelewa nadharia ya mtu mmoja hapana!!

OK, hapa changamoto kidogo ila iko hivi hizo sayari zingine zote zinaizunguka dunia, na hizo sayari zinakuwa na duara zake zingine ndogo ambazo zinaitwa epicircle hii ni katika kuonyesha retrograde motion ya hizo sayari.

kwa hiyo Jupiter inaizunguka dunia, mhhh ngumu kumesa, yaani body kubwa kama Jupiter kuizunguka dunia, mmhhhh
 
kwa hiyo Jupiter inaizunguka dunia, mhhh ngumu kumesa, yaani body kubwa kama Jupiter kuizunguka dunia, mmhhhh
We umejuaje kwamba jupita ni body kubwa? Kwa hiyo kuwa jupita na body kubwa linatusaidia vipi kujua kwamba dunia inaizunguka jua?. Mimi hapo najaribu kuelezea Ptolemy's concept.
 
We umejuaje kwamba jupita ni body kubwa?Ila unajua uwepo wa Jupiter ??? Kwa hiyo kuwa jupita na body kubwa Ila unaamini jupiter ina body kubwa ?? linatusaidia vipi kujua kwamba dunia inaizunguka jua?. Mimi hapo najaribu kuelezea Ptolemy's concept.
 
Ila unajua uwepo wa Jupiter ???
Ndiyo ni moja ya sayari tano ambayo inaweza onekana kwa macho.

Ila unaamini jupiter ina body kubwa ??
Mi nahitaji kujua tu, kwamba unajuaje kwamba jupita Ina body kubwa na hili linasidia vipi kujua kwamba dunia inaizunguka jua!!!.

NB:Kama unahitaji kuziona hizo sayari tano nitakuelekeza maana huu mwezi July jupita na mars itaonekana karibu mwezi wote.
 
Ndiyo ni moja ya sayari tano ambayo inaweza onekana kwa macho.

Hii umeitoa wapi ??

Mi nahitaji kujua tu, kwamba unajuaje kwamba jupita Ina body kubwa na hili linasidia vipi kujua kwamba dunia inaizunguka jua!!!.
 
Hii umeitoa wapi ??
Swali gani tena hili mkuu?, iko hivi kama hautumii telescopes, kuna sayari tano ambazo unaweza kuziona kirahisi kwa naked eyes mojawapo ni jupita, ndio maana wale astronomer wa kale kwenye models zao zilikuwa zinaonyesha hizo sayari tano, mwezi na jua pamoja na fixed star bila kusahau dunia. Kwa bahati mbaya hapa natumia simu ningekuwekea kitabu kimoja kinaitwa "discover universe".
NB:Kama unahitaji kuziona hizo sayari tano nitakuelekeza maana huu mwezi July jupita na mars zitaonekana karibu mwezi wote hasa mida ya jioni.
 
Jua kuwa ndio centre ya solar system inatosha ku prove dunia inazunguka jua
 
Swali gani tena hili mkuu?, iko hivi kama hautumii telescopes, kuna sayari tano ambazo unaweza kuziona kirahisi kwa naked eyes mojawapo ni jupita, ndio maana wale astronomer wa kale kwenye models zao zilikuwa zinaonyesha hizo sayari tano, mwezi na jua pamoja na fixed star bila kusahau dunia. Kwa bahati mbaya hapa natumia simu ningekuwekea kitabu kimoja kinaitwa "discover universe".
NB:Kama unahitaji kuziona hizo sayari tano nitakuelekeza maana huu mwezi July jupita na mars zitaonekana karibu mwezi wote hasa mida ya jioni.
Haya yote ameyaelezea huyo jamaa unayeamini nadharia yake ya " jua ndio huzunguuka dunia" au umetoa wapi ??
 
Haya yote ameyaelezea huyo jamaa unayeamini nadharia yake ya " jua ndio huzunguuka dunia" au umetoa wapi ??
Kwani hapo kipi hakieleweki? Mbona nimefafanua vizuri tu. Unadhani kwamba kuna jamaa naimini nadharia zake, Unachotakiwa uelewe ni kwamba Mimi sijakataa kwamba jua ndo center ya solar system, ninachokitaka Mimi ni kufahamu tu kwamba unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua. Swala la hizo sayari 5 kuonekana kwa urahisi kwa naked eyes si swala la nadharia hata wewe unaweza kuziview.
 
Kujua kwa kuambiwa bila kuwa na viashiria wa uthibitisho wa hicho unachoambiwa ni bora usijue kabisa. Sasa mkuu mi nataka viashiria vya hiyo kanuni kiasi cha kwamba hats layman anaweza kukuwelewa. Bado umeshindwa kunifafanulia yakinifu.
Kuna mambo mangapi ambayo unayajua kuwa ni kweli japo huna viashiria? Kuna viashiria gani kuthibitisha kuwa ni kweli umeme ni flow of electrons? Ulishawahi kuziona hizo electrons zikisafiri? Umeme unawashwa Ubungo mimi niko huku Kiabakari hapo hapo ushanifikia. Au brain activity is electronic? Ulishawahi kuiona photosynthesis inatokea?

Wewe hoja yako ya msingi ni kwamba huamini kwenye heliocentric model japo hutaki kusema waziwazi may be kwa vile huna hoja za msingi. Guess what? Mpaka leo hii kuna organization ya watu wanaoamini kuwa dunia ni bapa (The Earth is flat) na ina members wengi tu. Ukigoogle vizuri si ajabu kuna organization ya wafuasi wa Geocentric model. Watafute uone empirical evidence walizonazo uzilete hapa ndiyo mjadala uendelee. Otherwise unatupotezea muda tu!

Na katika mjadala huu pengine comment #44 ya Bwn. Hades (nimeinukuu hapa chini) ndiyo ya msingi kabisa.

"Kama jua ni moja na linaizunguka dunia, bas sayar nyingine zisingepata usiku na mchana wala MISIMU. Labda kama nazo zna majua yke!"
 
Kwani hapo kipi hakieleweki? Mbona nimefafanua vizuri tu. Unadhani kwamba kuna jamaa naimini nadharia zake, Unachotakiwa uelewe ni kwamba Mimi sijakataa kwamba jua ndo center ya solar system, ninachokitaka Mimi ni kufahamu tu kwamba unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua. Swala la hizo sayari 5 kuonekana kwa urahisi kwa naked eyes si swala la nadharia hata wewe unaweza kuziview.
Mimi nimeshakuelewa vizuri tu, ila wewe ndio hujanielewa. Maana yangu yoooote ya kukuuliza hayo maswali ni moja tu nayo ni, kwanini unakataa ushahidi wa sayari ya Dunia kuzunguuka jua ndio tunapata misimu ya mwaka kama Masika na Kiangazi kama ulivyonikatalia kule juu kwa ile video yangu inayoonyesha jinsi Dunia inavyojizunguusha yenyewe kwenye muhimili wake na wakati huo huo inavyozunguuka jua. Lakini umeng'ang'ania kuwa hujaelewa ni jinsi gani utajua Dunia inaizunguuka jua na ukawa unataka viashiria na mimi nilikupa viashiria ila bado ukawa unakataa, LABDA KWA NYONGEZA NENDA UMBALI WA KAMA KILOMETA. 1,000,000 - 2,000,000 KWENDA JUU NADHANI UTAWEZA KUONA DUNIA IKI MOVE KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE. Lakini ukiwa ndani ya Dunia uwezi ukapata VIASHILIA vingine zaidi ya kupatikana kwa misimu ya mwaka basi.
 
Kuna mambo mangapi ambayo unayajua kuwa ni kweli japo huna viashiria? Kuna viashiria gani kuthibitisha kuwa ni kweli umeme ni flow of electrons? Ulishawahi kuziona hizo electrons zikisafiri? Umeme unawashwa Ubungo mimi niko huku Kiabakari hapo hapo ushanifikia. Au brain activity is electronic? Ulishawahi kuiona photosynthesis inatokea?
Hii mifano yako unaweza kuifanyia simple prac demonstration na ukamuelezea MTU na akakuwelewa.

Wewe hoja yako ya msingi ni kwamba huamini kwenye heliocentric model
Hiyo wala sio hoja yangu ya msingi na siwezi kuweka hii hoja kwa sababu ilishawekwa humu na chief mkwawa
Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

japo hutaki kusema waziwazi may be kwa vile huna hoja za msingi.
Yawezekana ikawa hivyo kwa jinsi unadhani, hoja zangu hazipo kwa ajili ya kuipinga heliocentric na kuikubali geocentric, Mimi ninachotaka kufahamu ni kwamba unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua?.

Guess what? Mpaka leo hii kuna organization ya watu wanaoamini kuwa dunia ni bapa (The Earth is flat) na ina members wengi tu.
Yeyote anaweza kuamini chochote kile anachoona yeye ni sawa wala haina shida, ila kisayansi lazima hiyo nadharia iwe ni testable kwa kutumia observation na experiment tofauti tofauti, kwa hiyo hao wasemao dunia flat kama wana observations ambazo zinaeleweka haina shida pia naweza kukubaliana nao au pia nikakataa endapo nitakuwa na observation nyingine ambayo inaiprove wrong hiyo nadharia.

Ukigoogle vizuri si ajabu kuna organization ya wafuasi wa Geocentric model. Watafute uone empirical evidence walizonazo uzilete hapa ndiyo mjadala uendelee.
Sikuanzisha hii nyuzi ili kusupport geocentric theory kama unataka mjadala wa hivyo ulishawekwa kitambo kwenye hii link
Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

Otherwise unatupotezea muda tu!
Hata mi naona unanipotezea mda tu, maana kwenye post yote hakuna hata sehemu moja inayojibu swali langu
Unajuaje kama dunia inalizunguka jua?.
 
Mimi nimeshakuelewa vizuri tu, ila wewe ndio hujanielewa. Maana yangu yoooote ya kukuuliza hayo maswali ni moja tu nayo ni, kwanini unakataa ushahidi wa sayari ya Dunia kuzunguuka jua ndio tunapata misimu ya mwaka kama Masika na Kiangazi kama ulivyonikatalia kule juu kwa ile video yangu inayoonyesha jinsi Dunia inavyojizunguusha yenyewe kwenye muhimili wake na wakati huo huo inavyozunguuka jua.
Kwangu mi hili swala la misimu naona ni hoja dhaifu kwa sababu naweza nikakwambia kwa sababu orbit ya jua ni elliptic hivyo hufanya nyakati misumu kubadilika. Mfano astronomer zamani waliweza kutumia sundials huku wakidhani dunia ni fixed na bado waliweza kupredict misimu.
Mkuu hapo mwezi Tisa Tanzania mikoa ya kusini kutatokea na total solar eclipse(kupatwa kwa jua), mkuu kama upo interested na unapenda hesabu mi nikutafute tuanze kufanya prediction ya mda, na maeneo ambayo total eclipse na maeneo ambayo wanaweza kuona partially huku tukiassume dunia ni stationary tuone ni kiasi gani tupo sahihi. Ndo maana kwenye video yako nikakwambia kuna kitu ambacho nilikuwa nakitaka nilikiona jamaa alizungumzia ambayo ni "sidereal" lakini hakueleze "synodic".

Lakini umeng'ang'ania kuwa hujaelewa ni jinsi gani utajua Dunia inaizunguuka jua na ukawa unataka viashiria na mimi nilikupa viashiria ila bado ukawa unakataa,
Mi sijang'ang'ania, nilichotaka ni kueleweshwa tu.

LABDA KWA NYONGEZA NENDA UMBALI WA KAMA KILOMETA. 1,000,000 - 2,000,000 KWENDA JUU NADHANI UTAWEZA KUONA DUNIA IKI MOVE KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE. Lakini ukiwa ndani ya Dunia uwezi ukapata VIASHILIA vingine zaidi ya kupatikana kwa misimu ya mwaka basi.
Ina maana astronomer wote walioprove dunia kuizunguka jua walipaa huo umbali ili kuthibitisha dunia kuizunguka jua, na ukipaa huo umbali dunia unaitambuaje kama hii ndo dunia.
 
Back
Top Bottom