Naamini unaamini na ndio maana uliweza kumjibu Polisi jamii swali lake (rejea majibu yako no #15) Labda kama majibu yako unayakataa. Kwa mantiki ya kuamini visivyoonekana kwa macho,kwanza inakubidi utengue kauli yako uliyosema no #29, pili unatakiwa kuamini kutokana na matokea ya kinachoelezwa. Sasa nakurudisha tena kwenye komenti yangu no #19 na wewe ukanijibu kwenye komenti yako no #23 kwa kusema nanukuu " kusema bila viashiria si kitu ni bora kutokujua, sasa mkuu mimi nataka viashiria" mwisho wa kunukuu. Kwahiyo nakupa VIASHIRIA vya kitendo cha DUNIA kuzunguuka JUA nayo ni KUPATA MISIMU,ambayo ni MASIKA NA KIANGAZI.