Unajuaje kama dunia inalizunguka jua?

Inaonekana suala hili umelifuatilia kwa muda mrefu. Kwenye hizo thread ulizozirejelea hapa (sina muda wa kuzipitia) hukupata jibu mpaka nawe uanzishe thread ile ile na kupotezea watu muda bure wakati mada yenyewe ilishaongelewa kwa kina na mapana?
 
Inaonekana suala hili umelifuatilia kwa muda mrefu. Kwenye hizo thread ulizozirejelea hapa (sina muda wa kuzipitia) hukupata jibu mpaka nawe uanzishe thread ile ile na kupotezea watu muda bure wakati mada yenyewe ilishaongelewa kwa kina na mapana?
Narudia tena, sikuanzisha hii nyuzi ili kuichalenge heliocentric wala kusuport geocentric kwa sababu hiyo nyuzi ipo humu, nimekiwekea hiyo nyuzi kwa sababu we ndo ulikuwa unataka kunipeleka huko huku ukiniambia nigoogle kuhusu hayo mambo. Mimi sipo huko na wala hiyo nyuzi si sehemu pekee ambayo mi naitumia kujifunza, hata wewe pia kwangu Mimi unaweza kuwa ni sehemu ya kujifunza ndo maana nimeuliza unajuaje kama dunia inaizunguka jua? Swali langu linakubaliana kabisa na jua kuwa stationary ninachotaka hapo ni supporting evidences. Vinginevyo hapa nadhani utakuwa unanipotezea muda kama ulivyodai nakupotezea muda kwa sababu hakuna jibu unalolitoa.
 
Hii mambo ngumu sana ndio maana hata mwandishi wa bible alichemka baada ya kusema jua lilisimamishwa wakati jua hali-move.
 
Hii mambo ngumu sana ndio maana hata mwandishi wa bible alichemka baada ya kusema jua lilisimamishwa wakati jua hali-move.
Ooooooh mi sipo huko mkuuu.
 
Hujajibu swali langu. Umeweka reference ya mi thread kibao kuhusu the same issue. Kwa nini nawe umeanzisha thread ile ile? Unatafuta nini? That's what I was asking. Just a simple question sir japo "wasomi" nyie mna tabia ya ku complicate mambo na kujibu hata msivyoulizwa.
 
Hiyo ya wewe kwenda huko ndio njia pekee ya wewe kuproof kuwa Dunia inalizunguuka jua. Lakini hao Astronomers wote waliweza ku proof hilo kwa kuona misimu ya dunia ikibadilika na hawakubisha ktk hilo kwa vile liko wazi, lakini wewe unapinga ndio maana nimekuambia hivo.
 
Hujajibu swali langu. Umeweka reference ya mi thread kibao kuhusu the same issue.
Dah aiseeh unachosha,mbona hiyo thread ni moja tu, ina maana hata kufungua hukufungua, hiyo thread na hii ni tofauti.
[
Kwa nini nawe umeanzisha thread ile ile? Unatafuta nini?
Umetumia vigezo kusema thread ni ile ile, umeilewa kweli hii thread, hii thread wala haisuani na hiyo ebu nisome mwanzo wa hiyo thread.

That's what I was asking. Just a simple question sir japo "wasomi" nyie mna tabia ya ku complicate mambo na kujibu hata msivyoulizwa.
Kwa nini unaniita Mimi "msomi"? Mzee kama huna cha kujibu jaribu kujifunza zaidi ili nasi wenye uwelewa mdogo tuendelee kujifunza zaidi na si kupoteza mda.
 
Naomba publication ya Huyo astronomer aliyetumia hiko kigezo inawezekana nikawa naelewa tofauti.
 
Yeah! Wewe ni "msomi" tena mwenye Hp.D. Kwa kurudia thread ile ile huku ukijua kuwa ilishawahi kujadiliwa tena na tena unataka nikuiteje ndugu? Hata mimi kusema kweli umenichosha and I am out. Endelea kukomaa na thread yako ndugu. God bless!
 
Mtoa mada mi nakupa heshima yako, umeuliza kitu cha msingi sana na wote waliochangia hakuna alie toa majibu ya msingi aidha nao hawajui au wamekariri vibaya. Kuna watu wamesema soma jiografia kidato cha kwanza, hakitoi majibu mle kuna ushaidi wa dunia ni duara na dunia kuzunguka kutoka magharibi, pia majira ni kiashiria hafifu cha dunia kulizunguka jua na kuhusu sayari zingine kupata usiku na mchana hatujaona huko mchana unakuwaje ktk hizo sayari. Babu yangu anaamini jua ndio linazunguka na majira huletwa na mungu, sasa wasomi toeni ushahidi ambao hata babu yangu atauelewa sio kuleta bla bla na theory za kukariri
 
Mwambie apande gari alafu aiangalie miti ataona gari linafata miti au miti inafata gari? Mbona rahisi tu atakama aujasoma niraisi kujua
 
Swali nikwamba sisi ndio tunafata jua au jua ndolina tufata sisi mbona silewi
 
Nyota na ing'ae kwako
Kwanza ni lazima umjue kama anajua kuwa dunia (earth) ni sayari (planet) na jua (sun) ni nyota (star) kama anajua hili ni rahisi kumuelezea ila kama hili halijui basi kazi inakuwa kubwa zadi, inabidi humuanzishie ile jiografia ya std v.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…