Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Ndiyo sina nidhamu. Kwani nidhamu nini?Mtu wa makamo ya baba yako umuitikie "POA"?
kwani Bwana Yesu asifiwe au Asalam Aleko zina shida gani?
Kijana huna nidhamu kabisa..
Hauna nidhamu, na bado hujui nidhamu ni nini?N
Ndiyo sina nidhamu. Kwani nidhamu nini?
hata wahuni wanazeeka,usimtishe kijana wa watuHauna nidhamu, na bado hujui nidhamu ni nini?
kijana utakosa baraka za wazee..
Hizo baraka za wazee za kazi gani?Hauna nidhamu, na bado hujui nidhamu ni nini?
kijana utakosa baraka za wazee..
Kwa upande wa Uislam haijaelekeza kumpa Asalam Aleykum asiekua muislam, kama siyo muislam msalimie "Habari yako, mambo vipi, kwema..."Mtu wa makamo ya baba yako umuitikie "POA"?
kwani Bwana Yesu asifiwe au Asalam Aleko zina shida gani?
Kijana huna nidhamu kabisa..
Mimi hivyoNaona mna complicate maisha tu mara nyingine;
Uninisalimia "Tumsifu Yesu Kristo" nakujibu "milele akina"
Ukinisalimia "Assalamualaikum" nakujibu "alaikum Islam"
Ukinipa salamu nyingine yoyote nakujibu kama naelewa jibu; ndio Utanzania wenyewe
Kuna wazee wengine unampa heshima vizuri ila ukimkuta anavyozungumza na vi binti vya 2000 tena vidogo, ndipo unagundua wakina Baltazari wapo wengi.Hizo baraka za wazee za kazi gani?
Baraka za wazee zinaweza kuleta ugali mezani?
Kwa upande wa Uislam haijaelekeza kumpa Asalam Aleykum asiekua muislam, kama siyo muislam msalimie "Habari yako, mambo vipi, kwema..."
Kwahiyo jamaa yuko sawa hatakiwi kupewa salam hiyo kama siyo muislam.
Mimi huwa nawajibu "sava bye" ilimradi nionekane natokea Kongo.Kwa upande wa Uislam haijaelekeza kumpa Asalam Aleykum asiekua muislam, kama siyo muislam msalimie "Habari yako, mambo vipi, kwema..."
Kwahiyo jamaa yuko sawa hatakiwi kupewa salam hiyo kama siyo muislam.
Wewe inaonekana ni lipagani ,maana hata hiyo ya kikristu umeenda ChakaNaona mna complicate maisha tu mara nyingine;
Uninisalimia "Tumsifu Yesu Kristo" nakujibu "milele akina"
Ukinisalimia "Assalamualaikum" nakujibu "alaikum Islam"
Ukinipa salamu nyingine yoyote nakujibu kama naelewa jibu; ndio Utanzania wenyewe
Hai sound Bwana Yesu asifiwe jamaa POA, samaleko jamaa POAHuku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu.
Mimi binafsi huwa siitikii salamu ya kiimani, anayejipendekeza kusalimu kiimani awe mzee, kijana, mwanamke, mwanaume mimi naitikia "POA". JE wewe unakabiliana vipi na mazingira kama hayo.
haya maswali ungemuuliza bibi yako kabla hujaja Dar.Hizo baraka za wazee za kazi gani?
Baraka za wazee zinaweza kuleta ugali mezani?