Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucha we ni mtu safi sana..Asalam Alaykum warhamtullah wabarakatuh.
Maana yake ni "Amani iwe juu yako na rehema za Mungu na baraka zake".
Haifai kumuombea rehema mtu asie amini uwepo wa Mungu au kuwa Mungu ni mmoja na yeye tu ndo anapaswa kuombwa na kuabudiwa kwa jina lake.
Wengine wanaomba kwa majina ya viumbe kwahiyo salam hiyo ya Amani ni strictly prohibited kwa asiekua muislam.
Nakumbuka kuna ndugu mmoja huyo yan mkikutana tu habar za wokovu,hata akukute wapi,ikabidi ukimwona kwa mbali unajiongeza kumkimbiaWalokole ukiwaitikia wanaanza kukuhubiria habari za bwana yesu Kwa sauti ya kuunguruma.
Ndo naona ushamba wa watanznaia mtu anaamini dini yake ni universal na amna din nyingine na anakushangaa kwa nini upo kwenye hilo dhehebuHuku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu.
Mimi binafsi huwa siitikii salamu ya kiimani, anayejipendekeza kusalimu kiimani awe mzee, kijana, mwanamke, mwanaume mimi naitikia "POA". JE wewe unakabiliana vipi na mazingira kama hayo.
Amekuona wewe ni mtu na heshima zake ujue 😂 😂 😂Nakumbuka kuna ndugu mmoja huyo yan mkikutana tu habar za wokovu,hata akukute wapi,ikabidi ukimwona kwa mbali unajiongeza kumkimbia
😂😂 huyo mwamba tuna undugu nae,yeye akimwona yoyote yule hata kwenye pantoni enzi hizo anakupa mahubiri,yan baada ya salama tu ni mahubir mwanzo mwishoAmekuona wewe ni mtu na heshima zake ujue 😂 😂 😂
Sasa amekuona wewe mtu na heshima zako..😂😂 huyo mwamba tuna undugu nae,yeye akimwona yoyote yule hata kwenye pantoni enzi hizo anakupa mahubiri,yan baada ya salama tu ni mahubir mwanzo mwisho
Dizaini kama mtu wa mbinguni hivi😂😂Sasa amekuona wewe mtu na heshima zako..
Unajua nini....
Wewe umejiweka sana mtu flani hivi ambaye unafaa kupokea hayo mahubiri ujue
Wee pigo zako mtu wa dini kabisa ujueeeeDizaini kama mtu wa mbinguni hivi😂😂
Hiyo ni kiislamu kwakuwa ni dua,mnatakiana amaniSama leko ni kiislam au kiarabu?
Sema wengi kwenye hawajui maana yake halisi ya hio salaam. (yaani tafsiri yake) Ndio maana wengi wanakwazika, ila mimi binafsi huwa sina shida yoyote. Naitikia tu kwakuwa nilisha jifunza tafsiri ya salamu hizo.Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu.
Mimi binafsi huwa siitikii salamu ya kiimani, anayejipendekeza kusalimu kiimani awe mzee, kijana, mwanamke, mwanaume mimi naitikia "POA". JE wewe unakabiliana vipi na mazingira kama hayo.
Sawa boss wangu asante kwa mtazamo wakoWee pigo zako mtu wa dini kabisa ujueeee
Unazingua mkuu yaani hata neno nidhamu hujui?N
Ndiyo sina nidhamu. Kwani nidhamu nini?
Hii dunia kuna vijana wa hovyo sanaHizo baraka za wazee za kazi gani?
Baraka za wazee zinaweza kuleta ugali mezani?