Unakesha kuomba mapacha unamnyima unyumba mumeo unataka wakupe majini mahaba?

Unakesha kuomba mapacha unamnyima unyumba mumeo unataka wakupe majini mahaba?

wanawakee siwatishiii mtaua famikia zenu

hilooo tundaa n la mumeoo tu

kama unamnyima unataka akale kwa nani akuletee ukimwi


Huko chumban sio kwa maombi uko n kwa kupeana petipeti na kupeana hilo tuna

Wale mnaojifanya ati uwe na jofu ya Mungu unahisi mumeo hana hio hofu

Jua mda gan mume anataka mda gani wa maombi...m nikitaka alafu uamke chumban usali utasalia sebuleni

Kwann usali huku na maumivuu.....

Soma zab ampaye maumivu mwenzie bora jiwe lifungwee shingon mwakee
 
Kuna wakati unaokolewa na moto ukute mkuu ndio maana hupewi.

"Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa"
 

Attachments

  • GXgPEawWIAAE2Pb.jpeg
    GXgPEawWIAAE2Pb.jpeg
    16.9 KB · Views: 2
WAKATI MWINGINE MNAWAPA SHIDA KINA MWAMPOSA WAKATI MAJINI MAHABA MNAYAKARIBISHA WENYEWE

NA YAKIINGIA YALE KUTOKA..MUMEO UNAMWONA KAMA MAMA YAKO MZAZI

AKILALA KULIA UNAMPA MZUNGU WA 5

MPAKA LIKUTOKE WEEWEE UTAIJUA HIOO ASHAWACHAKAZA SAANA KAMA SIO GONO UKIMWI KISONONO AMA

UTI TIMILIFU
 
sasa huyu kashikwa kaombewa ndio na umeme umekata unaweza hisi umelogwa
 
Ushauri nasahaa
Tunapitia mengi sana makanisan ukisikiliza mmmh

Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake

Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo mwanaume akasema mkewe alianza kwenda kanisa moja la kilokole anarudi usiku

Mwisho akirudi wanagombana aka.wambia waende woteeee

Wakaenda siku chache sasa ktk kwenda pamoja wakakutanishwa na mch mmoja akawaombea wana mtoto mkubwa na sasa wanataka mapacha

Walipomaliza kuombewa anasema toka sikuileee mkewe akiombwa na mumewe atakiii kutoaa penzi

Wamefikia sasa mwanaume anarudi saa saba usiku ama asbh

Haitoshiii mwanaume anasema yule mch ndio bwana wako nn nkamwambia usifike hukoooo Mungu atafanya njiaa....


Mama anasema hajui anachojua anakuwa anajisikia kuchoka kila anapotaka kufanywa mapenzi

Nkamwambia unatakiwa Mao.bi ya toba na huruma na kuondokewa na jini mahaba anaekusumbua

Anyway tukamwonya na madhara yakee ila moja ya ushauri wangu akapime mimba ..

mume kawaka kivipi br wakati toka tuombewe tume do mara tatu tu

Dah

Nkamwambia yawezekana miujiza imetokea shida iko wapi??

.weewee kelele zake akaitwa mkuu mwingine kushinikiza atulie

Wamama ktk ndoa madada ndoa zenu mnaziamua wenyewe zife ziishii

Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa

Wapoo wanakesha makanisan kuomba waolewee sioo hawana uwezo wa kubadili mabwana la haha wanataka myme ambae akiamka anautakaaaa akilalaa anautakaaa anapataa

Sasaaaa

Endeleeeni kutingishiana kwenye sex mtalia mtazalisha wajane waliohai waume zenu bila kupendaa.....
Si aoe mwingine tu kwani wanawake wameisha. Kuna mambo si ya kulalamikia wala kushitaki.
 
Kuna wakati unaokolewa na moto ukute mkuu ndio maana hupewi.

"Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa"
Mkuu mkeo kama ana moto huo wenu usiogope anachotakiwa n kujitahidi kukusambazia upendo vizuri mkipigana vita na kusubiri mmalize mwendo
 
Si aoe mwingine tu kwani wanawake wameisha. Kuna mambo si ya kulalamikia wala kushitaki.
Hii kwetu kuisema n last last decision mkuu ndio maana tunawapa ushauri tunawaweka mombini tunawakutanisha na wazazi kikinuka hapo bado unawapa nafasi ya kukaa separate kwa mda kama wataweza kumisiana hapo sasa unasemaa haiwezekan...usemi dir unasema mkajipambanue
 
The bible says...my people are destroyed from lack of knowledge....
 
Evelyn ntakuja na mada moja nzuri kesho hii kunyimana mbaya sana ma boss
Kunyima kidogo ina ruhusiwa, ila isizidi shetani akapata nafasi kuwajaribu tena
 
Ndoo maana ukienda baraxa wanawaita mara tatu tena ndan ya miezi kadhaa wakiona moto wanawapa go ahead mahakaman kule nako wanaona haya mapepo yapite pemben wanawaapa mda wanawaita hata ndani ya miezi 6 mkiwa mnawashiana hapo wanasema pengine walitamaniana na ukiwakuta waxee wa baraza sijui kama wapo sikuhizi wanamwambia mh hakimu hawa watauwa mna ita karatasi haraka za talaka wamalizane....

Na hapo sio mwisho moto unakuja

Unamali mmeshare wote huyu anasema hapana huyu anasema ndioo

Haya kama sio letaa ushahidi mnakuja mweziujao sio kwambaa awataki msaini talaka

wanawapa mda tena..hapao anakuja huyu na maresit yake og mwingine feki haya mkishindwana wanawarudisha leten waliowaona mkijenga pamojaa aisee acha tyu

Mwisho mkifanya mchezo anarudi mmoja anaenda na cheti cha kifo .h hakimu mzee ama wife alitangulia mbele za haki..hapo

Ntaendelea....
@c2
 
Back
Top Bottom