Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
af mbadala wake uwe nyetoo?Hili tendo linasababisha matatizo mengi, naona lifutwe tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
af mbadala wake uwe nyetoo?Hili tendo linasababisha matatizo mengi, naona lifutwe tu.....
Hakika hatulitakiTendo la ndoa lifutwe tu.....
Hapana tufanye tu kazi, tupate hela....af mbadala wake uwe nyetoo?
hela italeta watotoHapana tufanye tu kazi, tupate hela....
Si aoe mwingine tu kwani wanawake wameisha. Kuna mambo si ya kulalamikia wala kushitaki.Ushauri nasahaa
Tunapitia mengi sana makanisan ukisikiliza mmmh
Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake
Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo mwanaume akasema mkewe alianza kwenda kanisa moja la kilokole anarudi usiku
Mwisho akirudi wanagombana aka.wambia waende woteeee
Wakaenda siku chache sasa ktk kwenda pamoja wakakutanishwa na mch mmoja akawaombea wana mtoto mkubwa na sasa wanataka mapacha
Walipomaliza kuombewa anasema toka sikuileee mkewe akiombwa na mumewe atakiii kutoaa penzi
Wamefikia sasa mwanaume anarudi saa saba usiku ama asbh
Haitoshiii mwanaume anasema yule mch ndio bwana wako nn nkamwambia usifike hukoooo Mungu atafanya njiaa....
Mama anasema hajui anachojua anakuwa anajisikia kuchoka kila anapotaka kufanywa mapenzi
Nkamwambia unatakiwa Mao.bi ya toba na huruma na kuondokewa na jini mahaba anaekusumbua
Anyway tukamwonya na madhara yakee ila moja ya ushauri wangu akapime mimba ..
mume kawaka kivipi br wakati toka tuombewe tume do mara tatu tu
Dah
Nkamwambia yawezekana miujiza imetokea shida iko wapi??
.weewee kelele zake akaitwa mkuu mwingine kushinikiza atulie
Wamama ktk ndoa madada ndoa zenu mnaziamua wenyewe zife ziishii
Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa
Wapoo wanakesha makanisan kuomba waolewee sioo hawana uwezo wa kubadili mabwana la haha wanataka myme ambae akiamka anautakaaaa akilalaa anautakaaa anapataa
Sasaaaa
Endeleeeni kutingishiana kwenye sex mtalia mtazalisha wajane waliohai waume zenu bila kupendaa.....
Mkuu mkeo kama ana moto huo wenu usiogope anachotakiwa n kujitahidi kukusambazia upendo vizuri mkipigana vita na kusubiri mmalize mwendoKuna wakati unaokolewa na moto ukute mkuu ndio maana hupewi.
"Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa"
kabisaHahahaaaaaaaahahaaaaa yaan acheni tu mengine atuwezi weka huku unahisi wahusika wakoo humu ila watu wanapitia sana kwenye hizi ndoa
Hii kwetu kuisema n last last decision mkuu ndio maana tunawapa ushauri tunawaweka mombini tunawakutanisha na wazazi kikinuka hapo bado unawapa nafasi ya kukaa separate kwa mda kama wataweza kumisiana hapo sasa unasemaa haiwezekan...usemi dir unasema mkajipambanueSi aoe mwingine tu kwani wanawake wameisha. Kuna mambo si ya kulalamikia wala kushitaki.
Mkuu mkeo kama ana moto huo wenu usiogope anachotakiwa n kujitahidi kukusambazia upendo vizuri mkipigana vita na kusubiri mmalize mwendo
Kunyima kidogo ina ruhusiwa, ila isizidi shetani akapata nafasi kuwajaribu tenaEvelyn ntakuja na mada moja nzuri kesho hii kunyimana mbaya sana ma boss