Ushauri nasahaa
Tunapitia mengi sana makanisan ukisikiliza mmmh
Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake
Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo mwanaume akasema mkewe alianza kwenda kanisa moja la kilokole anarudi usiku
Mwisho akirudi wanagombana aka.wambia waende woteeee
Wakaenda siku chache sasa ktk kwenda pamoja wakakutanishwa na mch mmoja akawaombea wana mtoto mkubwa na sasa wanataka mapacha
Walipomaliza kuombewa anasema toka sikuileee mkewe akiombwa na mumewe atakiii kutoaa penzi
Wamefikia sasa mwanaume anarudi saa saba usiku ama asbh
Haitoshiii mwanaume anasema yule mch ndio bwana wako nn nkamwambia usifike hukoooo Mungu atafanya njiaa....
Mama anasema hajui anachojua anakuwa anajisikia kuchoka kila anapotaka kufanywa mapenzi
Nkamwambia unatakiwa Mao.bi ya toba na huruma na kuondokewa na jini mahaba anaekusumbua
Anyway tukamwonya na madhara yakee ila moja ya ushauri wangu akapime mimba ..
mume kawaka kivipi br wakati toka tuombewe tume do mara tatu tu
Dah
Nkamwambia yawezekana miujiza imetokea shida iko wapi??
.weewee kelele zake akaitwa mkuu mwingine kushinikiza atulie
Wamama ktk ndoa madada ndoa zenu mnaziamua wenyewe zife ziishii
Mkiona hamjisikii kufanya na waume zenu Rudin kwa wazazi wenuu....raha ya mume tendo la ndoa
Wapoo wanakesha makanisan kuomba waolewee sioo hawana uwezo wa kubadili mabwana la haha wanataka myme ambae akiamka anautakaaaa akilalaa anautakaaa anapataa
Sasaaaa
Endeleeeni kutingishiana kwenye sex mtalia mtazalisha wajane waliohai waume zenu bila kupendaa.....