My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya.
Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha na bila kuwa na unafki anafanya kazi nzur sana na kila mmoja wetu anapaswa kupongeza na sio kubeza.
Bila kujali anatembea na media ili kuuuza utendaji wake kwa watanzania na mwajili wake mama Samia ila pia anafanya kaz yake kwa kiwango cha kuridhisha kusema ukweli.
Kwa tathmini hii naamini km tungekua na wakuu wa mikoa km Makonda kwny kila Mkoa basi tusingekua na haja ya kuwa na wabunge wala wakuu wa wilaya.
STRUCTURE YA WATUMISH WA SERIKALI INGEKUA KM IFUATAVYO
i) Kwanza futa wakuu wa wilaya na wabunge, then bakisha madiwan na wakurugenz wa wilaya(sijui ndo wanavyoitwa namaanisha yule anaepatkana miongon wa madiwan ) ambao mkuu wa mkoa atakua anapata taarifa kutoka kwao.
ii) Bungeni wabak mawaziri na manaibu wao pamoja na spika;hawa ndo watakua wanadiscuss budget then kiutendaji watakua wanalink na maRC moja kwa moja katika kutendea kaz budget.
Hapa tutakua tumepunguza chain ya watu wanaotakiwa kuwajibika pale mambo yakienda tofauti..kwa maana akitoka waziri then naibu wake then mkuu wa mkoa then diwan chapuu tu tunamjua mchawi nan kuliko kuwa na man power kubwa ilojaa wazembe
NB; Kila kiongoz ana mapungufu yake so naamini Makonda anakasoro zake kwny uongoz km walivyo wengne wanaosifiwa so I'd to chose positive sides and point them out over negative sides