1994 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Mkuu mwenyew nimeshangaaHiv Gaucho alicheza world cup 1994 ??
Nlikuwa cjui aisee
He is still a member pleasedought => doubt
Hahahaha ***** mkuu sikuwezAhsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
Usimsahau iniesta kapigiwa makofi mwaka jana hapohapo santhiago bernabeuNdio mchezaji pekee wa Barcelona ambaye aliifunga Real Madrid na mashabiki wa Real Madrid wakasimama kumpigia makofi aaaah Bravo Gaucho
hapo kama ulikua unakoroga sukari kwenye chai,umebadili tu muelekeo,kukoroga toka kulia kwenda kushoto na toka kushoto kwenda kulia matokeo yake ni yaleyaleGaucho Alikuwa Hachezi Mpira, Bali alikuwa Akiuchezea Mpira...
hapo kama ulikua unakoroga sukari kwenye chai,umebadili tu muelekeo,kukoroga toka kulia kwenda kushoto na toka kushoto kwenda kulia matokeo yake ni yaleyale
Ukukwesa makambo ughwe..1994 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
ngoja nimtafsirie dinho halafu nimtumie[emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duuuh kwel kiboko, laiti dinho angekuwa anajua kiswahili n akiona hii comment lazima afurahi sana
nikusahihishe tena kidogo mkuu, 98 WC ilifanyika Ufaransa.Ahsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
Bado umekosea mkuu, world cup ya 98 ilifanyika france na sio marekaniAhsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
rekebisha mwaka ili kuweka record sawa.Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Mma nkamu ikinja hiki ghwandike mma bhakalipo habhoUkukwesa makambo ughwe..
utacheza mpira bila kuuchezea mpira!?Wewe Kama Ni Msomi Mzuri Basi Utakua ni PCM that is why You Can't differentiate between Cheza and Chezea..