Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

wafahamishe mkuu
 
Huyo Gaucho toka aifunge Chelsea goal huku anakata kiuno sina hamu nae.!
 
Gaucho ni best skillfully player, not the best footballer. Even Messi n Ronaldo are better than him
Ronaldinho was more of an artist than a footballer so you can't him with footballers like Pele
 
Ashley cole world cup 1994??...alikuwa timu gan mazee..
 
sasa ilikuwe akashindwa ipa Barcelona japo kombe la mfalme mara moja

MAANA MPIRA WAMTII
Aliwapa la liga...champions league...final ilikuwa dhid ya arsenal...kocha alikuwa rijkaard....muwe mnadata kabla ya kuropoka...
 
Jana nilikuwa safari aisee kwenye basi tulikuwa na ubishani sana kuhusu huyu kiumbe anaitwa Gaucho..... Huyu kiumbe hatari sana wengi tuliokuwa tunabisha walikuwa upande wa Gaucho.....
 
Kweli gaucho ni noma sana na mpira wake ni mzuri sana but kiukweli kwa zidane bado
 
Hahaaaa hyo ni yake,,mi ngoja niendelee kushuudia maajabu ya king messi kwa vile vijiji anavyokusanya,playstation game player
 
Hiyo ni kauli yake binafsi na sio fifa,makocha, na wadau kote duniani, na hiyo ni kutokana na wao kukutana tim moja huko italy/ Milan....licha yakuwanae tim moja lkn hakupaswa kuongea uongo au kutaka sifa kwake, na badala yake alipaswa aongee ukweli, na kuwapa heshima wachezaji hao, bila kumsahau Alfredo de stefano.


-Vile vile sio hao tu. bado kuna akina;

  • Requelme,
  • redondo,
  • Cr7
  • cannigia
  • iniesta,
  • Aguero
  • De lima.....gaucho bado sana kuwafikia mafundi hawa,na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza!


-PlayerZ ambao wakuwaweka meza moja na Gaucho ni;

  • Pablo César Aimar
  • batistuta,
  • okocha,
  • oriel ortega,
  • ibrahimovic,
  • de maria,
  • neimar,
  • xavi
  • SuareZ, na wengine wengi tu!


Boateng awatake radhi hao wachezaji, na aache kuropoka!
 
Gaucho hakuwepo WC1994
 

Attachments

  • IMG_20161025_034554.JPG
    16.5 KB · Views: 25
World Cup 94... Ashley Cole hakuwepo wala Dinho hakuwepo... Kasome notsi zako upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…