Unakufa Thread

Uko unanyoa nywele za chini kwa wembe, tetemeko linapita, mkono ulioshika wembe unatikisika, unakata dushe, linadondoka sakafuni, linarukaruka na kujinyongorota, unavuja damu...unakufa.
 
Unatongozwa na masikini unakataa ...anakutongoza tajiri unakubali anakununulia gari unapata ajali UNAKUFA
 
Unakanyaga ganda la ndizi, unateleza ukianguka chini puuu "UNAKUFA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…