Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufaHahahaa!
Unapost pumba demu mzuri anai quote unashtuka....Unakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufaHahahaa!
Unapost pumba demu mzuri anai quote unashtuka....Unakufa
Siro katoa fact....unawaza hizo fact factin mpaka kichwa kinapata moto ..kinapasuka unakufaManina Siro katoa facts hadi mmechanganyikiwa.
Chinekeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamwambia bae aweke mate uteleze kama nyoka pangoni, anaweka unateleza unakufa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unaenda huko insane ... Unakufa
Kwan insane ni wap mkuu tujuze tupajue
Aliyejuu mngoje chini, unamngoja anakuangukia unakufa
Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufa
Mod atakayeupiga ban huu Uzi .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatekwa tunaletewa SISI TV footage ambayo ipo very clear kuliko hata za wazungu ila tunashindwa kukupata hadi unakufa!
Hiii unaweza lia huko kaburiniunaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bae na mchepuko wanatafuta wabebez wengine wanaendelea kukulana wewe unaendelea kufa