Unakula mara ngapi kwa siku?

Unakula mara ngapi kwa siku?

Breakfast sio muhimu sana kwang, always huwa nakula nikijisikia njaa.
20240725_171208.jpg
 
Nikipata nakula, nikikosa ndo basi tena siku inapita empty nakunywa maji nalala!
 
Ukiwa na pesa mfukoni ata usipo kula sio shidah maana kwanza ata njaa uwa haiumi
Sahihi kabisa,ukiwa huna hela unashambuliwa na njaa vibaya mno

Mimi na kula breakfast asubuhi na dinner
 
Back
Top Bottom