Unakula mara ngapi kwa siku?

Nikipata nakula, nikikosa ndo basi tena siku inapita empty nakunywa maji nalala!
 
Ukiwa na pesa mfukoni ata usipo kula sio shidah maana kwanza ata njaa uwa haiumi
Sahihi kabisa,ukiwa huna hela unashambuliwa na njaa vibaya mno

Mimi na kula breakfast asubuhi na dinner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…