Vile nimeshuhudia watu wanakula kwa msaada wa mirija pale muhimbili, wallah bora nikose vyote Ila sio kula, Nakula aisee tena si mchezo, nisikiapo njaa tu huwa sivungi, tena nakula ninachojisikia ili mradi niweze kukiafford masuala ya kina janabi na wafuasi wake nawaachia wenyewe.