Unakula mara ngapi kwa siku?

Unakula mara ngapi kwa siku?

Vile nimeshuhudia watu wanakula kwa msaada wa mirija pale muhimbili, wallah bora nikose vyote Ila sio kula, Nakula aisee tena si mchezo, nisikiapo njaa tu huwa sivungi, tena nakula ninachojisikia ili mradi niweze kukiafford masuala ya kina janabi na wafuasi wake nawaachia wenyewe.
 
Kahawa asubuhi,matunda saa nne.
Mchana yanatembea maji pamoja na bites kama korosho,karanga in short chochote chepesi kula.

Ikifika saa kumi na moja maji ya dafu na nyama yake then naenda kumalizia usiku na chakula kitakachoandaliwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom