Unakula Milo mingapi kwa siku, wiki je?

Unakula Milo mingapi kwa siku, wiki je?

Nikiwa home nakula mara 3

Nikiwa getto nakula mara mbili tu mara nyingi sili usiku

Napiga breakfast then napiga msosi kati ya saa11 au 12 ndio hadi kesho mkuu
 
Msosi ni mara 4 kama ivi nipo chaka ila nikirudi home mara 3...mpunga tunalima wenyewe hatuwezi kujidalalia menyu
 
Aisee mimi ni moja kati ya watu wavivu sana kula,, nahisi naweza nikala mara moja tu kwa siku, tena pale njaa inapokua imenishika kweli kweli
 
Kula ni muhimu Sana.

Tatizo tunakalili kwamba kula ni chai nziiiito.

Lunch mboga kibao. No.

Saa Moja weka kitu cha moto kama kahawa au tangawizi, alkasusu nk.

Saa nne para chai. Mkate, tumbua,samosa, na maji,soda,juis nk.

Saa sita pale kula ndz,parachich water melon nk.

Saa Saba nane pata ugali wako nk.

Saa Tisa kumi para karanga, kadhata, mihogo nk.


Usiku pata tambi nyama nk au mchemsho.

Wala bia mchemsho iwe jioni
 
Asubuhi breakfast
Saa nne maini
Saa 7 mlo
Saa 10 jioni chai na biscuits
Saa 2 usiku dinner
Saa 4 glass ya maziwa

Ila kuna chocolates na bites kadhaa hapo pia
Sasa sijui niseme mara 6
 
Then tuhamie kwenye kula tunda linaliwaje Kwa siku au wiki...

Tunda lile lile
 
Nakula mara 1.
Siku zingne pia napiga deshiiiiii.

Maisha magumu jamaniiiii. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Asubuhi breakfast
Saa nne maini
Saa 7 mlo
Saa 10 jioni chai na biscuits
Saa 2 usiku dinner
Saa 4 glass ya maziwa

Ila kuna chocolates na bites kadhaa hapo pia
Sasa sijui niseme mara 6
Wahi!! haraka sana Hospitali ukapime stool/ova .....utakuwa na Minyooo sugu! Khaaa!! halafu hunenepi!!! embu tuone kapicha kako tupiamo km siyo Betina??
 
Back
Top Bottom