Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

IMG_7920.jpg




Kidogo kidogo
 
nashukuru sijapotea nyumba nimetoka moyo nikaenda tips nikatoka tips nataka kuingia wavuvi entrance 50k [emoji3] nikaenda gentlemen nikamalizia small kuondoa pombe sasa niko nyumbani salama kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana mchana nilikua hunt club, jioni nikasogea La charlz, na usiku nkamalizia chantaburiiii.

Songea Town!!!!!!!
 
Mbagala rangi tatu Kona.Nambo lodge Niko mwenyewe tu nimejipumzisha wakuu.

Duuh mpaka chimbo ili unalijua njia pandanda ya kwenda chamazi.. we kweli noma[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom