Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

a65e4182-31ab-4d7e-9f9c-473cc4199aeb.jpg

Mpaka tuseme [emoji18]
 
Nipo Cate Hotel Kingolwira Morogoro
Nimewaka Na Wine, Dry Hapa Naona Joto Mwili Wote, Kunywa Pombe Ambazo Muda Wote Unakimbilia Chooni Kukojoa Sinywi. Kitu Dry Yaani Glass Mbili Unapata Half Heaven Mambo Yanakuwa Dede
20230825_174108.jpg
 
Back
Top Bottom