Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

jana nimetulia home siku nzima
nazipanga zile low budget horror movies za YouTube, of koz na BabyCare yangu pembeni
na pilau toka kwa jirani baba Bryton , na Ceres kadhaa, miguu mezani
na leo ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom