Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Na kikinifuata nakikimbia. Kesho sasa mida ya saa 4 asubuhi sura hazitazamiki.Ah ndo nyie kulala leo labda kitanda kikufate ulipo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kikinifuata nakikimbia. Kesho sasa mida ya saa 4 asubuhi sura hazitazamiki.Ah ndo nyie kulala leo labda kitanda kikufate ulipo..
Umewaza nini hadi ukanitag hii post? Nipo karibu na hapo ila sio hapo 🤣🤣
Hahah Acha woga....Nimetoka kuoga, naingia kulala..
Nikiwa kwenye huu mkoa hata TV siwezi kuangalia..
NakaziaKapicha basi
Kiwanja changu hiki enzi izo nipo a-level mzumbe sekondary. Gone are daysNipo samakisamaki moro#
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na muuza p2 anadinywa kesho hafungui. Ubaya ubaya tu
Hilo jina ni tusi ujue mkuu😀 ku.. nini?..Nikiripoti kutoka kumalijah pub Ukonga.. ni mimi Troublemaker wa JF✌️
Kuna vinywaji.....Ndio panaitwa hivyo..😂😂kwa kweli linasound vibayaHilo jina ni tusi ujue mkuu😀 ku.. nini?..
Ajira ushapata?Nimetoka dance club mwenge sasa hivi naelekea kijichi gateway maana ndio karibu na ninapoishi sitaki kulewa nikiwa mbali na geto. Aliyepo kijichi tuchekiane mimi nakunywa serengeti tu
Never!Njoo tufahamiane basi