Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Nipo sinza na shemeji yenu Asha Zungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungenipa location yako ningeamka nikuleteeKwahio nije kitandani kwako kufata jagomastar zangu?
Wageni ni wengi kwenye hii sekta ya 🍻🍻 🍷. Ngija wakatandikwe leoooo. Kesho P2 ziuzike.Sisi watumiaji wa vyombo leo tumetulia tunawaangalia wavamiaji wanavyohangaika.
Leo ni siku ya pombe tuSi nije nikundinye atiii?
Chrismas hii imepoa sana hadi inaboa
😅😅😅😅Niko mitaa ya Kimara nishawaka 😂😂😂 sema najiskia kutoka tu
Ah ndo nyie kulala leo labda kitanda kikufate ulipo..Leo ni siku ya pombe tu
uje Kimara mwisho nakusubiria hapa bar pendwaUngenipa location yako ningeamka nikuletee
Mkuu njoo kilimani temboniuje Kimara mwisho nakusubiria hapa bar pendwa