Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Nakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa nywele salama wa eatv, yeye ndiye aliyeanzisha mambo ya kusema hiphop sio bongo flava na bado ana chuki na bongo flava mpaka leo, anapinga madawa ya kulevya ila na yeye anatumia mmea, alishawahi kupigana na p funk majani pale bongo records ilikuwa Noma, aliwahi Kuwa na bifu na kingoko, dudubaya n.k.....Ongezea mengine, Kalapina!!!!!!
 
mwenyew huyo hapo
 
nabii koko,kuna nyimbo yake ile moja ya matusi alitukana watu wengi ,mpaka kina prof jay na wabongo fleva kibao
 
Kalapina hajawahi kumpiga Bou Nako.Ukitaka kijua ukweli wa kilichotokea siku hiyo sikiliza ngoma ya Bou Nako na Fidoo jina nimesahau kidogo
 
Pina mtoto mdogo sana tulize Sisi wakongwe wa huko block enzi tangia kundi lililokuwa linaitwa Indiana polis kaka zake pina walikuwepo humo enzi Hizo hakuna kitu kinaitwa kikosi kwanza pina ni muoga wa askari sana sana alikuwa anawapiga watoto mgoba saba tu n'a kuwateka

Ova
 
Anayejua kilichotokea kati ya Pina na Dudubaya atupe story, maana kila mtu anazungumza lake. Nikimnukuu Dudubaya kwenye interview zake kadhaa anasema tangu azaliwe hajawahi kupigwa wala kupigana, yeye huwa anapiga tu
 
kalapina ...Uwa azingui ...siku ile alipomjaza ngumi chid Benz ...sialikuwa anapiga show moja pale dar sijui ilikuwa ukumbi gani ..itakuwa ilikuwa dar live au maisha club ...sasa Chid alivamia show ya Pina akachukua maiki huku alikuwa amelewa balaa...akaanza kuimba..mambo ayaeleweki na matusi sasa pina alivyomwambia aludishe maiki Chid akagoma ...ndipo hapo alipochezea kichapo...heavy.

Ila sahv kalipina naona game kaliacha ..ameamuwa Kuhost kipind flan Clouds tv kinaitwa Alakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…