Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

kalapina ...Uwa azingui ...siku ile alipomjaza ngumi chid Benz ...sialikuwa anapiga show moja pale dar sijui ilikuwa ukumbi gani ..itakuwa ilikuwa dar live au maisha club ...sasa Chid alivamia show ya Pina akachukua maiki huku alikuwa amelewa balaa...akaanza kuimba..mambo ayaeleweki na matusi sasa pina alivyomwambia aludishe maiki Chid akagoma ...ndipo hapo alipochezea kichapo...heavy.

Ila sahv kalipina naona game kaliacha ..ameamuwa Kuhost kipind flan Clouds tv kinaitwa Alakati.
Ilikuwa maisha
 
kalapina ...anaga nguvu aliwai kupewa kichapo na Nuruhel ...tena Nuruhel alikuwa amelewa ...lakn alimpa kichapo...heavy.....Bongo mtu mwenye nguvu ni P.Funky majani....siunakumbuka siku ile Afande sele alipovutia bangi ...kwao na akina P..Funky ...yaani p..funky alipoamka akasikia alufu ya bangi ...ndipo alipompa kipigo mpaka Afande sele akaomba msamaha..yeye na marasta wake...icho ndo kilikuwa kisa cha kumfanya Afande shame dar nakwenda kwao maro.
Sasa afande mzembe hana mazoezi kupigana hawezi
 
Kalapina hajawahi kumpiga Bou Nako.Ukitaka kijua ukweli wa kilichotokea siku hiyo sikiliza ngoma ya Bou Nako na Fidoo jina nimesahau kidogo
Ile ngoma walimchana sana Pina anasema walivyompiga nondo ya mdomo Haruna Moshi Bobaani ndio ndio alimpeleka hospital
 
Pina mtoto mdogo sana tulize Sisi wakongwe wa huko block enzi tangia kundi lililokuwa linaitwa Indiana polis kaka zake pina walikuwepo humo enzi Hizo hakuna kitu kinaitwa kikosi kwanza pina ni muoga wa askari sana sana alikuwa anawapiga watoto mgoba saba tu n'a kuwateka

Ova
Hivi hawa wakina pina siwalikua watoto wa kishua?
 
Back
Top Bottom