Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Ilikuwa maisha
 
Sasa afande mzembe hana mazoezi kupigana hawezi
 
Kalapina hajawahi kumpiga Bou Nako.Ukitaka kijua ukweli wa kilichotokea siku hiyo sikiliza ngoma ya Bou Nako na Fidoo jina nimesahau kidogo
Ile ngoma walimchana sana Pina anasema walivyompiga nondo ya mdomo Haruna Moshi Bobaani ndio ndio alimpeleka hospital
 
Hivi hawa wakina pina siwalikua watoto wa kishua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…